Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,462
- 154,333
Serikali imerudi kwa kasi kwenye Biashara mbalimbali, na Sasa inakuja na Benki kubwa ya kibiashara Tanzania ambapo itamilikiwa kwa 100% na serikali.
Benki itaenda kwa jina la Tanzania Commercial Bank.
Inatokana na kuunganishwa kwa Benki ya Posta, Tanzania Postal Bank, Tanzania Investment Bank na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Tanzania Agricultural Development Bank.
Mchakato unafanyika kimyakimya chini ya uratibu wa Bank of Tanzania.
Kaeni tayari kwa hiki kitu kipya.