Karibu mabati ya Msouth migongo mipana na midogo

Karibu mabati ya Msouth migongo mipana na midogo

yvonne mtete

Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
30
Reaction score
11
Karibu Ujipatie Mabati Bora yanayodumu kwa bei poa ya punguzo kubwa.
Adjustments.jpg


Tunapatikana Buguruni Chama Dar es salaam
Tupigie simu[emoji338][emoji390]0623 160 404
[emoji338][emoji390]0758 293 587
Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg
 
Kuna zile bati zina muundo kama wa asbestos mnazo??? Kama pingili pingili hv
 
Bati hizi manazo na ni bei gani,na Gage zipi zipo??
 

Attachments

  • Screenshot_20210103-224555.jpg
    Screenshot_20210103-224555.jpg
    126.9 KB · Views: 37
Bati hizi
 

Attachments

  • Screenshot_20210103-224949.jpg
    Screenshot_20210103-224949.jpg
    148.7 KB · Views: 35
Bati hizi manazo na ni bei gani,na Gage zipi zipo??

Zipo boss zinaitwa vesatile.
Pia zipo za aina mbil
1.kuna ambazo zipo smooth zinauzwa kwa mita moja 18,341
2.aina ya pili inaitwa Royal vesatile inakua na chengachenga kwa mita moja 20,194
Iyo picha ni kutoka kampuni ya ALAF na ndio nimekupatia bei zake

Kwa upande kwa Geji izo bati Zipo geji 28,26 na 24
Bei nilizokutajia za geji28
 
Tunataka kujua. Brand yake maana kuna mshikaji wangu kapaua nyumba bati za maroon. ndani ya mwezi mmoja zishakuwa nyeupe...

..kpuni naiihifadhi...
 
Back
Top Bottom