Karibu lunch

Kitu cha 'wonderful' ambacho kina mangi wanakiita ndafu...chezeya umombo!!!
 
mate yamenijaaa mdomoni kwa raha aiseee, sijui ingekuwa NOAh ningefurahije
 
Siwezi..hata kukatama kijiko sijui labda kukoroga chai nala kwa mkono mie nafata sunnah

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Wanasayans wanakubali kua digetion ya chakula inaanzia mkononi kabla mdomoni thn tumboni
 
Mhhh huyu inamfaa kumtafuna na kilo ya pilipili mbuzi halafu unashushia na gongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…