Huu ni upuuzi. Wenzenu wapo katika harakati za kushinda gemu yao ya marudiano ili waingie fainali na baadae kuchukua ubingwa, wao wanaanza interruption za kumgombania mchezaji. Hii si sawa kabisa. Ni vema wangesubiri jamaa wamalize mtihani uliopo mbele yao ndipo waanze hayo mambo ya kumgombania. Kama angekuwa Fergie ndiyo amefanyiwa hivyo nadhani angeporomosha ma serukamba kibao.
Imefika wakati sasa klabu kubwa kujenga utamaduni wa kukuza vipaji badala ya kubomoa timu za wenzao ambao wametumia muda mrefu kuzijenga.