Mama ameona shamba lake la matunda haliendi vizuri. Hivyo, anatarajia kukata miti yote isiyozaa matunda na kupanda miti mingine inayozaa matunda.
Kwa maoni yako unafikiri:-
1. Miti gani ikatwe ikiwezekana na kuteketezwa motoni?
2. Miti gani iachwe?
3. Miti gani ipandwe shambani?
Nawasilisha.
Kwa maoni yako unafikiri:-
1. Miti gani ikatwe ikiwezekana na kuteketezwa motoni?
2. Miti gani iachwe?
3. Miti gani ipandwe shambani?
Nawasilisha.