kindikinyer leborosier
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 492
- 929
Salam za Upendo mwingi kwenu wanajamii,
.
Mimi huyu kindikinyer kijana wenu, ninataka nipate mke nioe! Umri unaenda na sioni sababu ya mimi kubaki hivi! Sasa tatizo linakuja kuna mwanamke nampenda ila simwelewi kwakweli!
.
.
Miaka ya nyuma nilikua namfwatilia akachomoa! Akanitumia mpk picha za mshkaji wake (ambae baadae nilijua hawawezi kuoana yeye mkatoliki jamaa mwislam), nilisononeka sana! Basi nikatulia miaka ikazidi kusonga!
.
.
Ila kila baada ya miezi sita nikawa namtxt "vp mrembooo" "upo poa wewee" au nilikua nikisubiri siku yake ya kuzaliwa au akiwa anafanya mitihani hua namtakia kila la kheri! mwanzo alikuwa akirespond negatively ila miaka mitatu baadae akawa anarespond positivly tunachat vizuri tunataniana hivyo!
.
.
Hajawahi nitafuta hata mara moja! Hali inayonipa msononeko sanaaa! Nikawa namtoa kabisa moyoni, kuna siku nikapewa story niliwahi kwenda msalimia shule kipindi hicho, nikaambiwa alivopata habari kua kuna mtu anaitwa kindikinyer amekuja.. alibeba ndoo ya maji akakimbia bafuni akafungua begi la nguo akamwaga kitandani.. hatimae akavaa ndipo akaja, kiukwel alipendeza,!!😂😂😂
.
.
Baada ya kusikia vile ilinibidi nirudishe mashambulizi... kua kumbe yupo hivi nimekamata tention yake.. lkn nikabaki na maswali why ana ni ignore.. why why?
.
.
Kuhusu mawasiliano hua hapend nione status zake watsap, amefuta namba zangu za watsap, mwanzo nilikuwa kila nikimtafuta lzima nijitambulishe, mwanzo nilikuwa nachukia kweli ila baadae ikanibidi nizoee si napenda bwana.. achana na mapenzi!
.
.
Najua wapo watakaosema mpe helaa!! Mpe helaàaa.. mwanzo niliwahi mtumia kidogo zamani, na alikua akipokea!! Lkn baadae alibadilika kuna siku nilimtumia vocha akaacha hakuiunga!! Doooh! (Kidogo kwao wana uwezo), niliwahi mkabidhi mdogo wangu kwake kipindi wanasoma aisee dogo alipewa heshima zote kama dada yake!(hapa ndo hua nazidi kumpenda) napenda mtu anaependa ndugu zangu.. loh!!
.
.
Kwa sasa tupo mbali yupo Arusha nipo Mwanza.. mwaka jana amehitimu Chuo yupo nyumbani, huyu anaenda kuolewa na nitaumia ila nitazuga nipo ok.
.
.
Mabaharia, wavuvi manahodha marubani woote nifanyaje nipeni maujuzi!
.
Nb. Nitafanyia kazi ushauri wenu na nitakuwa nikileta mrejesho kwa kila hatua!
.
.
Wasalaam Kindikinyer!
.
.
[Mea culpa, mea culpa, mea maxima culpa]