Karibu kanisani kwetu

UFalme wa mbingu ni kazi kwelikweli.Hilo kanisa aletwe yule padri wa st peters watakoma hawo
 
Kwani tatizo liko wapi sheria za kanisa zinasema hayo ni moja ya mavazi yanayotambulika hacha wajianike tu na wewe ugetuwekea yako na mkeo/mme maana umesema kanisani kwenu tuone leo mlienda na vazi gani au mkeo ni mmoja wapo kati ya hao.
 
Mmmh kazi kweli kweli.....dress code inahusika...kama ni kanisani aise pamekaa kama danguro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…