Unanikumbusha mwaka 2003 nikiwa nasaka life nauza kalenda na picha toka mbeya, chimala, ubaruku, makambako, hadi mafinga, kulikuwa na guest house moja hapo nimesahau jina kama sio Gift, baridi kali na ulanzi kwa kwenda mbele, mabint wa guest kama si kumuomba mungu huenda yangekuwa mengine!