mwalimu mkweli
Member
- Dec 23, 2017
- 35
- 69
Chuo cha ualimu elimu maalumu PATANDI nichuo pekee Tanzania kinachohusika na utoaji wa elimu kwa watoto wenye ulemavu..Chuo hiki kinatoa fani kuu tatu ambazo ni:-
1-uziwi(hearing impaired)
2-uoni(visual impaired)
3-ulemavu wa akili(interlacture impaired)
Kozi zote hizo zinatolewa kwa ngazi ya Astashahada(cheti) na stashahada(diploma)
Kwa sasa chuo hichi kinapokea aina mbili za wanachuo yaani walimu waliopo makazini(in-service) na (pre service) wanaotoka sekondari kidato cha nne na sita..
SIFA YA KUJIUNGA NA CHUO
A:NGAZI YA ASTASHAHADA
i-walimu kazini
a:uwe ni mwalimu uliyeajiriwa
b:uwe na cheti cha ualimu IIIA
c:unaruhusa kutoka kwa muajiri wako
ii-kidato cha nne au sita
a:uwe umefaulu kwa daraja III,II au I
B:NGAZI YA STASHAHADA
i-walimu kazini
a:uwe mwalimu kazini
b:uwe na stashahada nyengine yoyote
c:uwe imepitia kidato cha sita
d:uwe na barua ya ruhusa kwa muajiri
ii-kidato cha nne au sita
Hakuna kozi hiyo kwa ngazi ya stashahada kwa wasiokuwa walimu kwa sasa.
FAIDA ZA KUJIUNGA NA CHUO HIKI
1:Hutafundisha shule za maporini kwa kuwa shule nyingi za vitengo zipo mjini hivyo hutopata shida ya kumtafuta mtu wa kubadilishana vituo..
2:Nikozi yenye soko sana mfano fani ya uziwi wanafursa ya kuwa wakalimani mahospitalini,mahakamani n.k.Naikumbukwe lugha ya alama kwa sasa imerasimishwa....
3:Muda wa kufundisha unapungua hasa wanaofundisha walemavu wa akili.
4:semina ni nyingi na za kutosha hutokaa kusubiri kugombania semina za mitihani ya taifa....
5:ukija chuoni kwanza unapumzika kupunguza stress za walimu wakuu na majungu yasiyo na msingi kazini...
6😛ia ni sehemu ya kusogeza muda kale kadeni kako ka bank kapungue...
7:chuo hiki ada ni rahisi mno na kwa wale wabahili unaweza ukasave sana kwani chakula cha mchana na usiku unapata hapa hapa chuoni...
8:unafungua fursa mpya ukiwa huku na utapata uwanda mpana wa kujiongeza kama unatataka kurudia mitiani ya kidato cha nne au sita pako huru sana kwa hilo.....
9:Chuo hiki ni chakipekee ukienda B.T.P serikali inakulipa pesa wewe...
10:utaifurahia kwani ni watu wachache sana waliosomea ukizingatia chuo chenyewe ni kimoja kati ya vyuo vyote vya elimu tanzanzia...
HASARA
Hapa ukija utachukua cheti tena ukiacha hicho ulicho nacho kwani diploma yake hapa ni ngumu sana kuipata siyo raisi hivyo...
Kwa maswali niulize
0621180082