Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,318
- 22,276
Mbona hamjanikokotolea hapo juu mkuu?Kuna gari liteace truck, BG003206 ya mwaka 2001 ni sh ngapi hadi kufika Dar pamoja na kodi Tra?
12 milion !!!?DAIHATSU TANTO niya 2009 ina CCC 650 pia ina milango 5 na viti 4 inatumia petrol inauzwa USD 839 nisawa na tsh 19297000 na garama za tra ni tsh 10852992 jumula ni tsh 12782692View attachment 858765View attachment 858766View attachment 858767
USD 839 ni sawa na Tsh. ngapi?
Afu ana kitengo nyeti cha Afisa masoko19,297,000/=
Kweli Uchawi Upo, Huyu Jamaa Na Elimu Yake Ya Darasa la Pili Karoga Hadi Kapata Kazi BeForward.😉😉😀
Uandishi wa namba wanichanganya kidogoDAIHATSU TANTO niya 2009 ina CCC 650 pia ina milango 5 na viti 4 inatumia petrol inauzwa USD 839 nisawa na tsh 19297000 na garama za tra ni tsh 10852992 jumula ni tsh 1278269
Kweli Serikali inachukua kodi kubwa mno, kuliko Gari lenyeweNaombeni mnikokotolee hizo hesabu za TRA maana kodi ni kubwa sana.. au kama imejumuishwa na kodi ya uchakavu..
Kuwa makini unapoandika hizo nambaDAIHATSU TANTO niya 2009 ina CCC 650 pia ina milango 5 na viti 4 inatumia petrol inauzwa USD 839 nisawa na tsh 19297000 na garama za tra ni tsh 10852992 jumula ni tsh 1278269
Somo la hisabati bila shaka uliishia darasa la piliHarrier 2007 ccc 2360 milango 5 seat 5 automatic inauzwa tsh 12,238,300 million garama za tra ni tsh 13,734,399.30 million jumula in tsh 25,972,699 millionView attachment 859435View attachment 859436View attachment 859437
Somo la hisabati bila shaka uliishia darasa la pili
unashangaa nini tena mkuu?Yaani kodi kubwa kuliko bei ya kununulia?
Nashangaa kodi kuwa kubwa kuliko bei ya kununulia.unashangaa nini tena mkuu?
Sijajua alipataje kwa uandishi huu?38227420 million
ndio nini hicho?
unapataje kazi kama hizi za kuwa kwenye marketing staff ya BEFORWARD kwa upeo huu wa elimu ya darasa la tano?
Mkuu ungekua unaweka picha za gari na bei zake mpaka inafika mikononi mwa mteja. Utawavutia wengi sana.Karibuni kwa punguzo kubwa View attachment 867268
Inawezeka kokote kuleMkuu ikiwa nahitaji kuileta zanzibar na kuilipia huku ushuru je inawezekana? Au lazima nilipie ushuru wa dar kwa kuwä tayari ipo kwenye system?
NimekuelewaMkuu ungekua unaweka picha za gari na bei zake mpaka inafika mikononi mwa mteja. Utawavutia wengi sana.
Hii spare mpaka inafikia mkononi itakuwa bei gani?Nimekuelewa