be forward
Member
- Aug 28, 2018
- 49
- 17
mna landcruiser hardtop?Hii ni Toyota vanguard ukubwa wa engine ni CCC 2360 imetengenezwa 2010 automatic mafuta petrol garama zake ni Tsh 38227420 million hapo ni pamoja na TRA
Hatuna mkuu samahani kwa kuchelewa kukupa jibu.mna landcruiser hardtop?
DAIHATSU TANTO niya 2009 ina CCC 650 pia ina milango 5 na viti 4 inatumia petrol inauzwa USD 839 nisawa na tsh 19297000 na garama za tra ni tsh 10852992 jumula ni tsh 12782692DAIHATSU TANTO niya 2009 ina CCC 650 pia ina milango 5 na viti 4 inatumia petrol inauzwa USD 839 nisawa na tsh 19297000 na garama za tra ni tsh 10852992 jumula ni tsh 1278269
Hii hapaFord ranger ya 2016 CBC 3200 automatic seat 5 door 4 tra pekeyake 34118919 kunua gari ni tsh 70308700 jumula ni tsh 104427619
Telsa hatuma mkuuuNaomba kujua bei ya hizi gari
1. Audi A8 'used'
2. FORD RENGER 'new'
3. Telsa 'used'
Hesabu gani hii?DAIHATSU TANTO niya 2009 ina CCC 650 pia ina milango 5 na viti 4 inatumia petrol inauzwa USD 839 nisawa na tsh 19297000 na garama za tra ni tsh 10852992 jumula ni tsh 1278269
kluger na herrier 2007 - 2008Karibu be forward upate bizaaa mbalimbali kwa punguzo kubwa pale unapo tumia BFS ID 326720 hii itakupa punguzo hadi 80%
Harrier 2007 ccc 2360 milango 5 seat 5 automatic inauzwa tsh 12,238,300 million garama za tra ni tsh 13,734,399.30 million jumula in tsh 25,972,699 millionkluger na herrier 2007 - 2008
Kama shingapi vile mkuuya bei ndogo hakuna maana izo bei zinaniogopesha
garama zake ni Tsh 38227420 million hapo ni pamoja na TRA