Thread ya mishangazi hiiJamaniiiiii my baby Sis is back!
Nilikumiss sana mdogo wangu, Mwehu wangu, welcome back my lovely Sis, ur such a beautiful soul.
Kwa mtazamo wa nje una mapepe mengiiiii ila in reality una Moyo wa dhahabu, walio karibu na wewe watashuhudia hili.
Juzi niliona I'd mpya imechangamka inaitwa black flowers nikajua ni wewe, nikamcheck fastaaa PM, I was so disappointed baada tu ya salam nikapata jibu"Mimi sio cute wife"ππππππnikamwambia sawa nikandoka kinyongeee, yaani I was surprised kajuaje namtafuta lamomyπ€£π€£.
Welcome back kipenzi, am sure shostisto wako Missy Gf atakuwa anachekelea maana alikuwa kapooza kama ndegere mjane.
Karibu Tena beautiful, ila punguza wenge, usipigwe tena ma ban yasiyo na lazima usiwe kama mndewa Extrovert π . Am happy umerudi dogoake.π
Baba mtumishi bado unanipenda ww, umesikia Lamomy mbio umekuja kutia nongwa zako πππYes kwa kuamua uko sawa kabisa Mama yangu mpendwa...
Natamani sana uamue kumjua na kufuasa Mungu ninae muamini na kumtumikia awe bwana na mokozi katika kuishi kwako humu duniani na awe tarajio la furaha yako mbinguni
Kuna raia wanaboa humu ujue sisy, mtu uko na yako anakufatilia km anakudai.!Yaani Bora umemfunda,maana majibu yake anayajuaga mwenyewe Mtu akimchokoza anampa hapo hapo bila kumung'unya maneno...mi niliona dalili za kumtukana Mtu naachana nae chap!
Paulo wa mchongo πππ€£Unajifanya mtume Paulo waraka mrefu au sio?sio Kwa Mokozi lakn
Unazingua Apostle π€£π€£πActually mimi ni Apostle,
Lakini sistahili chochote kabisa, kwako na kwa wengine, ni mnyonge sana
Lakini, pale ninapokua dhaifu ndipo nilipo na nguvu zaidi..
Ujasiri wangu na nguvu zangu ni kutoka kwa Bwana na Mwokozi wa maisha yangu na yako katika Yesu Kristo alie hai...
Zaburi: 23 yanipa nguvu zaidi ya kusonga mbele licha ya kuhukumiwa kwa yote
Ww ngadu unanitafuta?! Kaokote maparachichi kwanza πAna ID ngapi huyo falaπ€£
Nimeacha π§ββοΈNimefurahi,karibu sana na utulie Sasa acha mdomo wako wa kizaramoπ€£π€£π€£π€£
Achana nayeTayari yupo Mmoja hapo kashasema nimejiandikia,hata najali Sasa watakua wenyewe!
πππ Ila jf ina viumbeEeeeh Sasa eti ananiambia Hana mchumba hajui wewe ni mke wa Mtu...
Tena sio anakudai,malizia hivi anakudai Figo π€£π€£π€£Halafu Moyo wa kupambana hawanaKuna raia wanaboa humu ujue sisy, mtu uko na yako anakufatilia km anakudai.!
Ukimjibu anakimbilia kwa mods kuomba msaada badala akaze, mi mbona siwafati mods wakinikera.?!!
πππ Si ndio hapo sasa, yani humu ingekuwa tunaonana tungepasuana..!!Tena sio anakudai,malizia hivi anakudai Figo π€£π€£π€£Halafu Moyo wa kupambana hawana
Uwe mwema utasemwa, uwe mbaya utasemwa πππHawa ndio wale viumbe wazito walioimbwa na Hadija Kopa sijui Isha mashauziπ€£π€£π€£
Hakuna visichana hapa ni mishangazi tuπ€£π€£π€£ mbona mishangaziii
πππ Hii imenyooka, wala hatukupingiHakuna visichana hapa ni mishangazi tu
Oyaπππ Si ndio hapo sasa, yani humu ingekuwa tunaonana tungepasuana..!!
Halafu dume zima linaleta makasiriko mpk unabaki kulishangaa
Sitaki kunyonywa damu mie hapanifai hapaπππ Hii imenyooka, wala hatukupingi
Dah. Nisiseme wakasikia. Mpambe ulikosekana ikawa huzuniπ. Karibu. Kantri uko naye karibu hapo?πββοΈπββοΈNakuja tajiri, kwanza bday ya baby wako iliandaje?! Hilo fuko shikilia nakuja tumalize deal π