Sawa mkuu mzani umebalance
Neno linasema,wote waliompokea aliwapa uwezo kufanyika watoto wa Mungu,kama wewe ni Mmoja wa waliompokea shangilia moyoni mwako Kwa maana Wana wa Mungu watairithi nchi na Yerusalem mpya itafanyika makao yao ya kudumu mpaka utimilifu wa dahali.si mimi,
ni katika yeye anitiaye nguvu,
sifa na utukufu ni kwake...
Ubarikiwe sana na uwe na wasaa mwema sana Mama Joannah
nimefurahi sana kwa sadaka yako ya neno la baraka mno kwangu na wapendwa wengine,Neno linasema,wote waliompokea aliwapa uwezo kufanyika watoto wa Mungu,kama wewe ni Mmoja wa waliompokea shangilia moyoni mwako Kwa maana Wana wa Mungu watairithi nchi na Yerusalem mpya itafanyika makao yao ya kudumu mpaka utimilifu wa dahali.
Lakini kama wewe ni F.P,hakika ziwa la moto litakuwa nyumbani kwako dawamu!Shime mrudie Muumba upate Toba na Rehema ,maana neno linatufundisha"ijapokuwa dhambi zenu ni nyekundu kama damu au bendera atazisafisha sitakuwa nyeupe kama theluji au sufi....Nikutakie usiku wenye baraka
Natumai utaongoza maombi Asubuhi ya kesho kabla ya maandamanonimefurahi sana kwa sadaka yako ya neno la baraka mno kwangu na wapendwa wengine,
na zaidi sana ujumbe wa kipekee sana wa neno la Mungu juu ya uweza wa Ki-Mungu ndani ya watoto wake walio mpokea na kufanyika wana wa Mungu...
ukisoma Mt 5;3-12
FUNGU LA 12 LINASEMA. Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu.
Asante sana kunitakia kheri katika usiku huu maalumu sana kuelekea asubuhi ya maandamano na Mungu akubariki sana...
Nitachelewa kidogo kufika,Natumai utaongoza maombi Asubuhi ya kesho kabla ya maandamano
Bibi yenu hajambo, useme anaonekana alikuwa amekumisi...π Babu
Vipi bibi mzima?
Marahaba Mjukuu...Babu Shikamoo?msalimie bibi mwambie nimemnunulia ugoro wa Tanga namletea weekend
Hahaha........unajua sisi tuliozaliwa zamani, tulifundishwa kusema kweli daima, ndiyo maana pamoja na Uzee huu siku nikiwa nina Kiu ile nyingine namwambia kabisa Bibi yenu kuwa nina Kiu badala ya kujichukulia Sheria Mkononi kama ndugu yenu dronedrake afanyavyo ...ππππ€£π€£π€£Babu hukosagi maneno wewe.
Nipo Babu
Sasa Babu,bibi anaweza kukupa maji Hadi ukate kiu kweli?anawezaje kuchota maji kisimani na yeye ni Mzee?Hahaha........unajua sisi tuliozaliwa zamani, tulifundishwa kusema kweli daima, ndiyo maana pamoja na Uzee huu siku nikiwa nina Kiu ile nyingine namwambia kabisa Bibi yenu kuwa nina Kiu badala ya kujichukulia Sheria Mkononi kama ndugu yenu dronedrake afanyavyo ...πππ
Wazee hatukosi mbinu tukiamua...japo huwa tunapiga a single shot once a yearSasa Babu,bibi anaweza kukupa maji Hadi ukate kiu kweli?anawezaje kuchota maji kisimani na yeye ni Mzee?
Mwambie bibi namsalimia sana, aniandalie supu ya kuku nakuja kumletea vitenge π₯°Bibi yenu hajambo, useme anaonekana alikuwa amekumisi...
Maana ni juzi tu ametoka kukuulizia
Msalimie sana Mkwe na familia Kwa ujumla
Babu mtakuja kufanya tuitwe hospital bwana,hebu mpumzishe bibiWazee hatukosi mbinu tukiamua...japo huwa tunapiga a single shot once a year
Ukizidiwa kabisa huna jinsi lazima utumie mbinu ya ndugu yenu dronedrake ...tunasema chovya chovya humaliza gogo ππππ
Bibi yako na Mimi tutafurahi sana kukuona π€Mwambie bibi namsalimia sana, aniandalie supu ya kuku nakuja kumletea vitenge π₯°
Hahaha.........ngoja nipunguze kula mitishamba, maana Kuna muda inafanya narudia nguvu za mwaka 47 πππππBabu mtakuja kufanya tuitwe hospital bwana,hebu mpumzishe bibi
Oyooooo!! Babu yangu mimi huyo πππBibi yako na Mimi tutafurahi sana kukuona π€
Kwa namna ulivyomisika, hata ukitaka Supu ya Mbuzi mzima tutakuandalia
Hiyo mitishamba ukija unionyeshe nipate biashara ya kuuzia kizazi kipya nitapiga sana Hela Babu,tatizo ni kubwa mtaani π€£π€£Hahaha.........ngoja nipunguze kula mitishamba, maana Kuna muda inafanya narudia nguvu za mwaka 47 πππππ