Sheria bila hekima na customer service ni bure,wanatanguliza rushwa iliyofichwa kwenye sheria na mfumo mbaya. Bado maadili ni tatizo siyo sheria kama inavyotajwa.
Hakuna ofisi au taasisi isiyokula rushwa hivi sasa. Kuanzia mawaziri, idara na mashirika ya umma. Na sababu ya rushwa kukithiri ni udhaifu wa rais mwenyewe ktk kusimamia nidhamu ktk serikali yake.
Kama kweli Samia ana uchungu na rushwa aanze kushughulika na baraza lake la mawaziri halafu ashuke mpk kwa mwanaye Abdul.