Kariakoo; Na majina ya Mitaa

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,200
Reaction score
11,350
Kwanini baadhi ya Mitaa imepewa majina ya lugha/kabila afu baadhi ya lugha/makabila hayana Mitaa.

Mfano.. Kuna Mtaa wa Nyamwezi, Sukuma, Swahili n.k
ila hakuna Mtaa wa Kurya, Kinga, Makonde n.k.?
 
Mkuu ulitaka MITAA yote ya kariakoo tu upewe majina ya makabila..kiufupi majina ya MITAA huwa hayapangwi yamejitokeza tu kwa sababu fulan fulani za kihistoria ya eneo..by the way makonde ipo mbona hata kama sio kariakoo ila iko enei lingine kumbuka kuna makabila yamejizolea umaarufu tu hivi karibuni mjini kama wakinga
 
Kariakoo pia kuna majina ya watu maarufu kina Max Mbwana, Aggrey, Livingstone, etc
Ilala kuna mitaa yenye majina ya mikoa na majiji
Lindi, Mwanza, Bukoba, Arusha, Moshi , etc
Kinondoni kuna majina ya nchi, mf Tunisia, Togo etc
Temeke kuna majina mengi ya kutoka Kusini kwa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…