Kariakoo market corporation

metudi

Senior Member
Aug 13, 2014
150
72
Habari ya mchana wana jamii, nauliza kuna yeyote mwenye taarifa kuhusu ajira zilizo tangazwa na hilo shirika kama wameita waombaji kazi kwa ajili ya usahili

Shukran
 
Habari ya mchana wana jamii, nauliza kuna yeyote mwenye taarifa kuhusu aJira zilizo tangazwa na hilo shirika kama wameita waombaji kazi kwa ajili ya usahili

Shukran
duh mpaka nishasahau kama nili apply huko
 
Back
Top Bottom