Mliambiwa Watanzania hasa watumishi wa Umma ukiwaongoza kwa kudemka demka na kubembeleza utavuna mabua.
Pasipo kutumia Lugha ya kazi tu na wakati mwingine kutengua mtu anayeonekana kutofanyakazi zake kwa kasi inayotakia mtawasha sana Majenereta.
Wenzenu huko ili line fulani iwashiwe Umeme enzi hizo hadi mtoe 5M na ushee.
Jumuia ya Wafanyabiashara KKooo wakiamua kimjinimjini Umeme hauwezi kukatika Kariakooo ila kwakuwa ujuaji mwiiiingi ndio maaaana vijana wanawanyooosha.
Anyway tumesharudi kwenye mfumo wa kitu kidogo mpaka sahivi;
Kule TBS Ili gari ipasi ubora mpaka.....
Kule Bandarini ili mzigo utoke fasta mpaka.....
Kule TANESCO ili eneo lenu la Viwanda lisipate Mgao mpaka .....
Ili ufungiwe Umeme haraka mpaka ..
Ongezea idara nyingine zenye kitu kidogo