Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,920
- 28,501
Unasema hakucheza mara hakudumu manake nicheke kwanza.Wee EPL unaijua au unaisikia??? Au unajitoa ufahamu??
Wenzake wamekuwa makocha, yeye alikua ktk kiwanda cha bia alifukuzwa kisa wizi, eti leo anacheza?? Unajua km huko EPL hakudumu wakimkataa kisa maradhi???.
Endelea kujitoa ufahamu hivyo hivyo. Yule hana uwezo wa kuhimili game ya Derby, km mie muongo kesho awepo afu utakuja uniambie.
Unataka ije takataka ambayo ata ku turn haiwezi kama Lwanga?Katazame tena viungo tunaowaita wakabaji paLe simba naturally sio defensive may be mzamiru kwa mbaLi buT wengine wote not defensive
Haijazidi mkuu, 3-4-2-1 , idadi ni wachezaji 10. 3- Inonga Quattara na Onyango 4- Kapombe, Hussein, Okwa na Chama 2- Sakho na Okra 1 - Phiri . Hapo Kapombe na Hussein wawe wanacheza deeper tukishambuliwa! Pia game plans zianzie kwao....Mbona wachezaji wamezidi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kuhusu maradhi ya ini, ni uongo?? Nenda Google ukapate somo, tena utaelezwa wazi wazi mie nimzushie maradhi ili nigundue nn??Unasema hakucheza mara hakudumu manake nicheke kwanza.
Unadhani ni celebrity utudanganye kuzushia watu mashoga sio?
Huku ni facts tu hizo porojo unadhani nani atakuamini story za vijiweni unadhanigi kila mtu kilaza kama wewe [emoji23][emoji23]
Hakuna la ukweli hata moja upuuzi na hearsay tupu.
Sisi tumemuona akicheza labda ulikuwa kwenu songea unalima[emoji23][emoji23]
Tutaona kama akipangwa ingawa ni ngumu sababu ya ugeni.
Ulivyo mjinga unadhani haya ni matusi? Ngozi yangu ngumu sana 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kuhusu maradhi ya ini, ni uongo?? Nenda Google ukapate somo, tena utaelezwa wazi wazi mie nimzushie maradhi ili nigundue nn??
Sasa hii ya celebrity imeku touch vipi nawee ni shoga?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huenda uko kwenye industry, sijasema hajacheza, nimesema hakudumu, na alio chezaa nao yeye wengi ni makocha sahiv, au yanga imemtoa New castle ??? Na nikuulize baada ya kutoka huko New castle alienda wapi???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nileteee hizo facts zako nizione hapa. Unanichekeshaga sanaa, kidampa ukae utulie.
Achana naye huyu huwa anapenda story za kimbeya mbeya sana na ligi isiyo na mashiki, hujawahi mstumia nini?Ulivyo mjinga unadhani haya ni matusi? Ngozi yangu ngumu sana 😂
Je lazima yeye awe kocha? Alicheza na arteta nae sasa ni kocha
Mbona Husemi Ronaldo alicheza na Rooney,kampany nao ni makocha mbona bado anacheza?
Messi amecheza na xavi na xavi ni kocha mbona Husemi?
Vitu vingine unalazimisha ujinga kana kwamba wote tunafanana na story zako za kijiweni 😀😀
Bigirimana tumemtoa wapi kwani saido tulimtoa wapi? Si alikuwa hana team the same to bigi?
Ushabiki wa kishamba sana umekujaa kwanza hata mpira wenyewe hujui napoteza nguvu tu bure hapa kakae na kolo wenzio huko 😂😂😂
Mtu ulikuwa hata kuna tofauti team za luanda na Agosto chaiiii 😂😂
Kigoma mlifungwa na PAN AFRICAN..!!Simba hawezi fungwa na vibonde wa Sopu na vipers .
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mlongo, mbolimboli..!!! 😂 😂 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kuhusu maradhi ya ini, ni uongo?? Nenda Google ukapate somo, tena utaelezwa wazi wazi mie nimzushie maradhi ili nigundue nn??
Sasa hii ya celebrity imeku touch vipi nawee ni shoga?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huenda uko kwenye industry, sijasema hajacheza, nimesema hakudumu, na alio chezaa nao yeye wengi ni makocha sahiv, au yanga imemtoa New castle ??? Na nikuulize baada ya kutoka huko New castle alienda wapi???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nileteee hizo facts zako nizione hapa. Unanichekeshaga sanaa, kidampa ukae utulie.
Umesema kweli chief napoteza muda sioni anachobishia ni nini ikiwa mambo yapo wazi yaani yanga wasajili mgonjwa?Achana naye huyu huwa anapenda story za kimbeya mbeya sana na ligi isiyo na mashiki, hujawahi mstumia nini?
Utapotwza bure rasilimali muda wako kwa kishoiya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa unapovukwa sanaa, afu unadhan eti ukitoa povu bas kuna mtu ataku gwayaaa, nimekuuliza hivi baada ya kutoka New castle alienda wapi?? Au unadhan Ronaldo na Messi sijui km walicheza na watu ambao kwa sasa wengine ni rais wa shirikisho la nchi zao??Ulivyo mjinga unadhani haya ni matusi? Ngozi yangu ngumu sana [emoji23]
Je lazima yeye awe kocha? Alicheza na arteta nae sasa ni kocha
Mbona Husemi Ronaldo alicheza na Rooney,kampany nao ni makocha mbona bado anacheza?
Messi amecheza na xavi na xavi ni kocha mbona Husemi?
Vitu vingine unalazimisha ujinga kana kwamba wote tunafanana na story zako za kijiweni [emoji3][emoji3]
Bigirimana tumemtoa wapi kwani saido tulimtoa wapi? Si alikuwa hana team the same to bigi?
Ushabiki wa kishamba sana umekujaa kwanza hata mpira wenyewe hujui napoteza nguvu tu bure hapa kakae na kolo wenzio huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu ulikuwa hata hujui kuna tofauti kati ya team za luanda na Agosto chaiiii [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo, anadhan hatujui habari za bigirimana wake tangu akiwa new castle, hadi sababu iliyomtoa palee, na nini kilifuata ktk carrier yake soka. Hadi anatua jangwani.Mlongo, mbolimboli..!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nathibitisha hujui kitu, ndiyo hujui kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa unapovukwa sanaa, afu unadhan eti ukitoa povu bas kuna mtu ataku gwayaaa, nimekuuliza hivi baada ya kutoka New castle alienda wapi?? Au unadhan Ronaldo na Messi sijui km walicheza na watu ambao kwa sasa wengine ni rais wa shirikisho la nchi zao??
Nataka unijibu baada ya kutoka new castle, muendelezo wake ulikuaje, hadi kuja kutua Yanga. Usikimbie hili swali toa jibu, nataka kuona facts zako, hayo mengine hata wee una errors nyingi tyuuh. Tena huwa unatoa habari huna hakika nazo, ukiulizwa uthibitisho unakimbia, unasubiri had ziwe halali, ndo unajifanya kurudi kuchachamaa ukitoa boko unakimbia mazima. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au na kuhusu kuwa ktk kiwanda cha bia ni uongo??? Sasa leo aingie ndani acheze, afu tutarudi kuulizana hapa, km anaweza game la mikiki ya Derby.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nilijua lazima ukimbie, wee c ndo una facts ndo nazitaka ili mie nisiejua kitu, nipate kuelewa mambo.Nathibitisha hujui kitu, ndiyo hujui kitu
goodbye....[emoji23][emoji23]
Umemjua mkude ukubwaniKocha kama atampanga mkude kama mkabaji hiyo game tunapigwa
Mkuu kutoka 3-3 haimaanishi Coastal alifanya vizuri kati pale. Alizidiwa kila idara huyo Coastal acha ushabiki maandazi, Akpan alifanya nini katikati siku ile?? Yanga walipata magoli mawili kupitia kati kati, wakati Coastal magoli walipatia pembeni, moja ikiwa kaunta.Mkude
Mzamiru
Kanoute
Akpan
alafu bado unadai Simba hakuna viungo wakabaji!? Rejea final ya FA pale Arusha ujionee balaa la Akpan
Hakuna eneo lililovizuri sasa hivi pale simba kama katikati na ukuta. Mbele kidogo ndio tua maji tia maji.
Wewe ndio ukatazame.Katazame tena viungo tunaowaita wakabaji paLe simba naturally sio defensive may be mzamiru kwa mbaLi buT wengine wote not defensive
Kanoute hajui kukaba!? Akpan hajui kukaba!? Mzamiru hajui kukaba!? Bro wewe ndio ujifunze mpira. Balaa la akpan hukuliona msimu uliopita lbda. Katika wote hao lbd mkude ndio yupo slow na akicheza holding hamna shida kama mwenzake atakuwa fasta.Jifunze mpira hao wote wanafanana ni wazuri wakiwa na mpira,hawawezi kukaba na ni wazito.Simba ilikuwa na kiungo bora alivyokuwepo Kotei,Fraga na Lwanga
We unaejua mpira unacheza namba ngapi pale man cty!? [emoji1787][emoji2957]Mkuu kutoka 3-3 haimaanishi Coastal alifanya vizuri kati pale. Alizidiwa kila idara huyo Coastal acha ushabiki maandazi, Akpan alifanya nini katikati siku ile?? Yanga walipata magoli mawili kupitia kati kati, wakati Coastal magoli walipatia pembeni, moja ikiwa kaunta.
Mpira hujui mzee.
Hujui mpira mzee, Coastal ilizidiwa kila kitu.We unaejua mpira unacheza namba ngapi pale man cty!? [emoji1787][emoji2957]
Ile siku pale kati akpan aliwapoteza vbyvby! Aucho kama hakuwepo vile. Sasa Akpan utamfananisha na huyo mzee wa [emoji1060] mliyepewa bure!?
Uongo Ilizidiwa wakati mlikua mnfanya kuchomoa magoli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujui mpira mzee, Coastal ilizidiwa kila kitu.