Kardinali Pengo: Tumuombee Rais Magufuli

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka Watanzania kuzidi kumuombea Rais John Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya. Kardinali Pengo alisema hayo alipokutana na waandishi wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam hivi karibuni.

Alisema mambo anayoyafanya sasa Rais Magufuli yana manufaa makubwa kwa Watanzania na kusisitiza kwamba ni viongozi wachache duniani wenye ujasiri wa kufanya hivyo. Kardinali alisema kutokana na kutumbuliwa majipu kwa watu ambao walikuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya Watanzania, kiwango cha ubinafsi kinaendelea kupungua kwa kiasi kikubwa.

Alitoa rai kwa Watanzania kuwaombea viongozi wa nchi ili waimarishwe katika kuleta maendeleo ya taifa. “Tunahitaji kuiombea Serikali na tuiweke mikononi mwa Mwenyezi ili viongozi wake waimarike katika kuleta maendeleo kwa taifa letu,” alisema Kardinali Pengo.

Katika mkutano huo, Kardinali alitangaza Parokia teule sita kuwa Parokia kamili, ikiwemo ya Kijitonyama iliyokuwa ni Kigango cha Parokia ya Mwananyamala, hivyo kufanya parokia za Jimbo Kuu Dar es Salaam kufikia 95.

Mbali na Kijitonyama, nyingine ni Mtakatifu Rita Temboni, Msakuzi, Mbande, Mshikamano na Michungwani iliyoko Kimara. Mapema mwaka jana, alipokutana na Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Pengo alisema anamwomba Mungu amwezeshe kusimika parokia 100 za jimbo lake katika uhai wake. Kwa sasa zipo parokia teule nyingine sita ambapo zikikamilisha mahitaji yote, zinaweza kutangazwa parokia kamili ndani ya mwaka huu.
 
Mtu kutekeleza majukumu ya kazi yake kikatiba hahitaji kuombewa. Kwa watu wa dini wanasema unaomba mungu (kama yupo) akusaidie kutatua jambo gumu usiloliweza sasa kama mtu anajua urais ni mgumu hadi ahitaji mambi hakua na haja ya kuuomba.

Hii n8 serikali ya ajabu sana inayohitaji maombi kwa kila inachokifanya, kwa hiyo bila maombi hawezi kutekeleza majukumu yake?

Maombi yataleta viwanda? Maombi yatatoa mil 50 kila kijiji? Maombi yatapeleka meli kila ziwa? Maombi yataleta kilimo cha umwagiliaji wa mibuyu? Maombi yataleta barabara ya njia sita toka chalinze au mambi yataleta elimu bure?

Serikali ya maombi.
 
Kheri ya mwaka mpya.

Sio mara moja wala mara mbili Mheshimwa raisi amesisitiza watanzinia tumuombeee. kusema kweli naomba kusisitiza kauli hii ya raisi mara nyingi amesikika akisema hakujiandaa kuwa rais na mahali pengine alitamka kazi ya uraisi ni ngumu anatamani ingekuwa miaka miwili. hayo maneno ya muheshimiwa raisi hatamki bahati mbaya hali ya uchumi inaonyesha kabisa kuwa tuliyenaye hakujiandaa hivyo anastahili kuombewa na watanzania wote.

Kuna siku nilikuwa naangalia mashindano ya vipaji marekani x-factor kuna mshiriki aliingia kutumbuiza na mbwa wake alitumbuiza vizuri kama dakika tatu wakamkatisha wale majaji, kwanza walimpongeza kwa show yake nzuri ila walimwambia watu hawawezi kaa zaidi ya nusu saa wanaangalia kitu hicho hicho muda wote mtu hawezi toa kiingilio cha masaa mawil akuangalie unavyocheza hivyo na mbwa hivyo walimshauri awe mbunifu zaidi.

Hali kama hii naiona kwa raisi wetu ukweli tulimuunga mkono kwenye kutumbua majipu sasa mkuu kachukua hii ndio style ya kwenda nayo mpaka 2020 kusema kweli tumeshaanza kuchoka hii teua tumbua lazima awe mbunifu hatutamshangilia muda wote wananchi wana kero nyingi zinahitaji kutatuliwa yeye yuko busy kuteua na kutumbua.

Shime watanzania tumuombee raisi wetu akifanikiwa yeye tumefanikiwa wote ila kwa sasa mambo ni magumu kwelikweli.
 
Tafuteni kitabu cha how the church and government got the same bed hakika unafiki huu wa viongozi wetu wa didi umezidi,hv mbona wakati wa awamu ya nne ya mtoto wa mjini matamko yalikuwa mengi? Je matamko hayo kwa sasa yamepotelea wapi? Au kwa sababu ni wakwao? Hapa bila shaka pengo litaendelea wigo wa mapengo?
 
Wadau kutokana na kuwa na mkanganyiko mkubwa kuhusiana na hali na mambo mbalimbali yanayoendelea nimeona ni bora kufanya maombi maalum kwa ajili ya ndugu yetu rais. kuna mambo mbalimbali yanayoendelea na yaliyotokea hivyo ni wazi watu kuna vitu ambavyo wangependa.

kwa hali ilivyo hakuna kwa kukimbilia zaidi ya Mungu tu. huyo ndo tutamwambia shida zetu na mambo yetu mbalimbali. huko ndiko ambako tutayasema tuliyo nayo kwa uhuru na kumwomba nini kifanyike. tusaidiane katika kufanya maombi ambayo yatalisaidia taifa hili kujikwamua kiuchumu,kisiasa na kitamaduni. hii ni nchi yetu na yeye ndo rais wetu. na kwa kuwa amekuwa akisisitiza kutaka kuombewa nadhan anafaham umuhimu wa maombi.basi tuombe kwa kadiri ya mahitaji na imani yetu kumuelekea ndugu rais.
 
Maombi nitakayomuombea hapa ni bora nikae kimya
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka Watanzania kuzidi kumuombea Rais John Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya. Kardinali Pengo alisema hayo alipokutana na waandishi wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam hivi karibuni.

Alisema mambo anayoyafanya sasa Rais Magufuli yana manufaa makubwa kwa Watanzania na kusisitiza kwamba ni viongozi wachache duniani wenye ujasiri wa kufanya hivyo. Kardinali alisema kutokana na kutumbuliwa majipu kwa watu ambao walikuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya Watanzania, kiwango cha ubinafsi kinaendelea kupungua kwa kiasi kikubwa.

Alitoa rai kwa Watanzania kuwaombea viongozi wa nchi ili waimarishwe katika kuleta maendeleo ya taifa. “Tunahitaji kuiombea Serikali na tuiweke mikononi mwa Mwenyezi ili viongozi wake waimarike katika kuleta maendeleo kwa taifa letu,” alisema Kardinali Pengo.

Katika mkutano huo, Kardinali alitangaza Parokia teule sita kuwa Parokia kamili, ikiwemo ya Kijitonyama iliyokuwa ni Kigango cha Parokia ya Mwananyamala, hivyo kufanya parokia za Jimbo Kuu Dar es Salaam kufikia 95.

Mbali na Kijitonyama, nyingine ni Mtakatifu Rita Temboni, Msakuzi, Mbande, Mshikamano na Michungwani iliyoko Kimara. Mapema mwaka jana, alipokutana na Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Pengo alisema anamwomba Mungu amwezeshe kusimika parokia 100 za jimbo lake katika uhai wake. Kwa sasa zipo parokia teule nyingine sita ambapo zikikamilisha mahitaji yote, zinaweza kutangazwa parokia kamili ndani ya mwaka huu.
Na Wale Wanao Mshauri Pia Waombewe
 
Watanzania wote bila ya kujali itikadi zetu tumuombee Rais Magufuli kwani anayo nia ya dhati ya kulivusha taifa letu..

Wanaomdhihaki ni mafisadi...
kwani taifa limekwamia wapi
 
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka Watanzania kuzidi kumuombea Rais John Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya. Kardinali Pengo alisema hayo alipokutana na waandishi wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam hivi karibuni.

Alisema mambo anayoyafanya sasa Rais Magufuli yana manufaa makubwa kwa Watanzania na kusisitiza kwamba ni viongozi wachache duniani wenye ujasiri wa kufanya hivyo. Kardinali alisema kutokana na kutumbuliwa majipu kwa watu ambao walikuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya Watanzania, kiwango cha ubinafsi kinaendelea kupungua kwa kiasi kikubwa.

Alitoa rai kwa Watanzania kuwaombea viongozi wa nchi ili waimarishwe katika kuleta maendeleo ya taifa. “Tunahitaji kuiombea Serikali na tuiweke mikononi mwa Mwenyezi ili viongozi wake waimarike katika kuleta maendeleo kwa taifa letu,” alisema Kardinali Pengo.

Katika mkutano huo, Kardinali alitangaza Parokia teule sita kuwa Parokia kamili, ikiwemo ya Kijitonyama iliyokuwa ni Kigango cha Parokia ya Mwananyamala, hivyo kufanya parokia za Jimbo Kuu Dar es Salaam kufikia 95.

Mbali na Kijitonyama, nyingine ni Mtakatifu Rita Temboni, Msakuzi, Mbande, Mshikamano na Michungwani iliyoko Kimara. Mapema mwaka jana, alipokutana na Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Pengo alisema anamwomba Mungu amwezeshe kusimika parokia 100 za jimbo lake katika uhai wake. Kwa sasa zipo parokia teule nyingine sita ambapo zikikamilisha mahitaji yote, zinaweza kutangazwa parokia kamili ndani ya mwaka huu.
Pengo hajui kuombea watu imepigwa marufuku?
 
Hatuombei watoa rushwa, wezi, waongo, wenye dharau na chuki za kutisha, wauaji na visasi dhidi ya Watanzania wenzao wasiotaka ushauri au kukusolewa wadharau katiba, Bunge na sheria za nchi. Mbona verified ID yako unahofia kuitumia!? KULIKONI?

Kheri ya mwaka mpya.

Sio mara moja wala mara mbili Mheshimwa raisi amesisitiza watanzinia tumuombeee. kusema kweli naomba kusisitiza kauli hii ya raisi mara nyingi amesikika akisema hakujiandaa kuwa rais na mahali pengine alitamka kazi ya uraisi ni ngumu anatamani ingekuwa miaka miwili. hayo maneno ya muheshimiwa raisi hatamki bahati mbaya hali ya uchumi inaonyesha kabisa kuwa tuliyenaye hakujiandaa hivyo anastahili kuombewa na watanzania wote.

Kuna siku nilikuwa naangalia mashindano ya vipaji marekani x-factor kuna mshiriki aliingia kutumbuiza na mbwa wake alitumbuiza vizuri kama dakika tatu wakamkatisha wale majaji, kwanza walimpongeza kwa show yake nzuri ila walimwambia watu hawawezi kaa zaidi ya nusu saa wanaangalia kitu hicho hicho muda wote mtu hawezi toa kiingilio cha masaa mawil akuangalie unavyocheza hivyo na mbwa hivyo walimshauri awe mbunifu zaidi.

Hali kama hii naiona kwa raisi wetu ukweli tulimuunga mkono kwenye kutumbua majipu sasa mkuu kachukua hii ndio style ya kwenda nayo mpaka 2020 kusema kweli tumeshaanza kuchoka hii teua tumbua lazima awe mbunifu hatutamshangilia muda wote wananchi wana kero nyingi zinahitaji kutatuliwa yeye yuko busy kuteua na kutumbua.

Shime watanzania tumuombee raisi wetu akifanikiwa yeye tumefanikiwa wote ila kwa sasa mambo ni magumu kwelikweli.
 
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka Watanzania kuzidi kumuombea Rais John Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya. Kardinali Pengo alisema hayo alipokutana na waandishi wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam hivi karibuni.

Alisema mambo anayoyafanya sasa Rais Magufuli yana manufaa makubwa kwa Watanzania na kusisitiza kwamba ni viongozi wachache duniani wenye ujasiri wa kufanya hivyo. Kardinali alisema kutokana na kutumbuliwa majipu kwa watu ambao walikuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya Watanzania, kiwango cha ubinafsi kinaendelea kupungua kwa kiasi kikubwa.

Alitoa rai kwa Watanzania kuwaombea viongozi wa nchi ili waimarishwe katika kuleta maendeleo ya taifa. “Tunahitaji kuiombea Serikali na tuiweke mikononi mwa Mwenyezi ili viongozi wake waimarike katika kuleta maendeleo kwa taifa letu,” alisema Kardinali Pengo.

Katika mkutano huo, Kardinali alitangaza Parokia teule sita kuwa Parokia kamili, ikiwemo ya Kijitonyama iliyokuwa ni Kigango cha Parokia ya Mwananyamala, hivyo kufanya parokia za Jimbo Kuu Dar es Salaam kufikia 95.

Mbali na Kijitonyama, nyingine ni Mtakatifu Rita Temboni, Msakuzi, Mbande, Mshikamano na Michungwani iliyoko Kimara. Mapema mwaka jana, alipokutana na Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Pengo alisema anamwomba Mungu amwezeshe kusimika parokia 100 za jimbo lake katika uhai wake. Kwa sasa zipo parokia teule nyingine sita ambapo zikikamilisha mahitaji yote, zinaweza kutangazwa parokia kamili ndani ya mwaka huu.
duh kauli ya huyu kiongozi wa dini ile yenye majina mengi ya watakatifu lina ukakasi sana.iko siku naye watu wasiojulikana watampitia.Sijamsikia akisema tumwombee Lissu apone haraka arudi kwenye majukumu yake
 
Mwombee mwenyewe azidi a kuyaacha kubomoa nyumba za watu na kutambua viupele na kuyaacha majipu. We can not do so. Do it on your own
 
Back
Top Bottom