Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"
Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.
CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).
Too little!, too late!.
Ile siku nilipoupandisha uzi huu, Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 Ni John Pombe Magufuli.
nilisema kuna jambo nimelisikia kumhusu Magufuli, ila sikulisema jambo hilo kwa sababu, ila nilielezwa ni kwa nini mgombea wa CCM atakuwa ni Magufuli!. Information is power, mimi na baadhi ya watu tunajua ni kwa nini ni Magufuli!, na hata leo leo bado hatusemi sababu za kwa nini ni Magufuli!, lakini ikitokea Lowassa asiposhinda uchaguzi huu, inamaana Magufuli ndie atashinda, na hapo ndipo nitakithibitisha hicho nilichosikia, hivyo nitalikisema kile nilichokisikia ili Watanzania wote wasikie, tuelezane ukweli , hata kama ukweli huo ni mchungu kiasi gani, huo ndio utabaki kuwa ukweli.
Pasco
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"
Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.
CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"
Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.
CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).
Wapi katajwa lowassa hapo!?
Mimi najua
Yahusu kurasini,Yohane na mkate.
Lazima awe wa namna hiyo.
Tuishie hapa
Pengo mnafikiMwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"
Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.
CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).
Lowasa ametajwa wapi kwenye hayo manenoMwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"