Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,232
- 6,479
Andika kwa lafudhi ya kifaransa Lauraa SengoDuh! Huyu Kadinali hata Google haimtambui; vipi tena.
Duh! Huyu Kadinali hata Google haimtambui; vipi tena.
Jibu zuri.kuna watu humu ni Matutusa, Sasa Google imtambue ili iweje sasa.Kwani google ndio ilimteua??? yupo kwenye list Vatican,umekosea jina lake kusearch
Hebu umwage hapa huo mkataba kiongoziHajui sisi wakatoliki ni wasimamizi wa serikali zote, aangalie mkataba wa Roman Katoliki na uongozi wa kidunia Aalaaaaaa
"Mwanya mkubwa"Cc. Kardinali "Mwanya"
wacha porojo kwako wewe ni jikoni.Kanisa hili ni kikundi cha siasa dhamira zao kuu ni kuitawala Dunia katika:
. Uchumi
. Dila
Akishika uongozi wa juu mtu wao niwavumilivu sana! Wanafumbia macho mambo mengi, akishika mwingine weee
Pengo si mkuu wa kanisa katoliki tanzaniaKuna watu hapa watataka pengo afanye hivi hivi
Ni sawa. Lakini ndie anaepokea maagizo direct kutoka kwa pope au balozi wake na kumfikishia ngalalekumtwaPengo si mkuu wa kanisa katoliki tanzania