Karbala Siri ya ushindi- Sheikh Hemed Jalala

Karbala Siri ya ushindi- Sheikh Hemed Jalala

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,308
Reaction score
4,207
Natoa tahadhari kwa wenye mioyo midogo ama mepesi usiangalie na kusikia hii video ya mahubiri ya Sheikh mkuu wa madhehebu matukufu ya waislamu wa Shia Tanzania Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge.

Anaelezea jinsi Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali (a.s) alivyouwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Yani licha ya kumuua walimkata kichwa na mwili kukanyagwakanyagwa. Bila juhudi za kipenzi chetu cha dhati leo tusingesema shahada.

Msikilize.

 
64b9956098700d001d5f0796.jpg
 
Kuna operation kabambe imeanzishwa ya watu kula kiapo cha utii Kwa kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS.

Ikilazimika watu watalishwa hiki kiapo kwa nguvu na lazima.

Maovu kwenye jamii yamezidi, kuna dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.

Kuhakikisha haya yote hayapo na watu wanaishi Kwa umoja, huruma na kupendana ilivyo kwa Kipenzi chetu cha dhati Imam wetu kipenzi , LAZIMA kula kiapo cha utii.

The road to Karbala join the movement NOW!

Screenshot_2025-07-30-19-19-40-01_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg



Wakili Jagina Kikwajuni One adriz hearly
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom