Umeolewa wewe binti au ndiyo unatafuta bwana?Huyu Zitto atawatembeza paku wazee wa Ufipa street. Mwamtaka mwajifanya hamumtaki, poleni sana--mwenzenu ameshawwaga amewaambia hana muda na nyie tena. Fanyeni yenu naye afanye yake. Sasa kama amebuma sio ndiyo nyie mfurahie unalialia nini tena hapa?
Huyu Zitto atawatembeza paku wazee wa Ufipa street. Mwamtaka mwajifanya hamumtaki, poleni sana--mwenzenu ameshawwaga amewaambia hana muda na nyie tena. Fanyeni yenu naye afanye yake. Sasa kama amebuma sio ndiyo nyie mfurahie unalialia nini tena hapa?
Ukitaka mada idumu humu mpe Pasco,zake hazifutwi hata kama ni multiple.alafu Pasco anamuunga mkono Ms.alitiMods mada hii inajitegemea kama ile ya Pasco
zitto amekosea sana kuondoka CDM kwani alikuwa anakwena mbali sana kisiasa sasa ataishia uenyekiti wa ACT tu
zitto amekosea sana kuondoka CDM kwani alikuwa anakwena mbali sana kisiasa sasa ataishia uenyekiti wa ACT tu
Umesahau, wameongezea neno "Uzalendo" ambalo halipo kwa msajili, ili kufuta jina la usaliti.
mnazidi kumpaisha tu zito na hii miuzi yenu, mwenzenu anawacheka tu
Kweli,aisee. Nafikiri kabla ya kupata ID ya JF ingefaa watu wafanyiwe kwanza IQ testmleta mada hupaswi kulaumiwa huu ndio mwisho wa ubongo wako kujua mambo. atakae kulaum atakuwa anamatatizo nae
Bavicha yoyote atakayekaa siku moja bila kumwandika Zito kabwe nampatia gari,
mleta mada hupaswi kulaumiwa huu ndio mwisho wa ubongo wako kujua mambo. atakae kulaum atakuwa anamatatizo nae
Bavicha yoyote atakayekaa siku moja bila kumwandika Zito kabwe nampatia gari,
Bavicha yoyote atakayekaa siku moja bila kumwandika Zito kabwe nampatia gari,
Huyu Zitto atawatembeza paku wazee wa Ufipa street. Mwamtaka mwajifanya hamumtaki, poleni sana--mwenzenu ameshawwaga amewaambia hana muda na nyie tena. Fanyeni yenu naye afanye yake. Sasa kama amebuma sio ndiyo nyie mfurahie unalialia nini tena hapa?
Kweli,aisee. Nafikiri kabla ya kupata ID ya JF ingefaa watu wafanyiwe kwanza IQ test
Bavicha mmehamia kunywa mbege na viroba vyenu ndio maana akili zenu zinawatosha wenyewe
Bavicha yoyote atakayekaa siku moja bila kumwandika Zito kabwe nampatia gari,