FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 2,229
- 4,345
NI KIPI SIASA IMETUAHIDI? KIFO, UKOMBOZI AU MAPINDUZI?
KUWA SEHEMU YA HISTORIA YA UHURU WA MAPINDUZI YA KISIASA.
KARATA YA MAUAJI ✅
Kwenye ulimwengu wa kibebari dunia haina ukoloni tena wa watu weupe kutawala sehemu mbali mbali za dunia watu weusi ndio ambao wanawatawala wenzao lakini kwenye utawala wa hawa watu sio kila mtu anapendezwa na mambo ambayo wanayafanya.
Tanzania ilikuwa ni moja ya mhanga wa jambo hili. Ilikuwepo serikali ambayo ilikuwa inatawala kwa mabavu na kufanya yale ambayo wahusika waliona kwamba yanawafaa kwa maslahi yao binafsi. Watu wengi hawakuwa wanajali huenda kwa sababu hawakuwa na taarifa juu ya nini kinaendelea chini lakini kwenye kundi kubwa la watu wasiojali huwa kuna watu kadhaa wenye kujali kuhusu taifa lao.
Tanzania ilikuwa inaendeshwa na watu kadhaa ambao walitengeneza mfumo wa kutawala milele ndipo wakaibuka watu wa siri ambao walihitaji kubadilisha mfumo huo wa kidhalimu kwa kuhitaji kumuweka madarakani kiongozi wa upinzani kwa sababu waliona ndiye ana mwelekeo sahihi na mfumo wa watawala wa chama tawala unatakiwa kuondolewa madarakani kwa nguvu.
Kwahiyo watu hao wakaanzisha umoja wa siri kuweza kufuta jumla mfumo wa serikali ila wamuweke kiongozi wa chama cha upinzani madarakani kwa mara ya kwanza.
Jambo hili linasababisha machafuko makubwa na mauaji ya watu wengi ndani ya nchi akiwemo mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa na mkuu wa majeshi mwisho wa siku CIA wanahusika Moja kwa Moja ndipo jambo hili linachukua sura mpya Tanzania inaingia gizani na kwenye umwagaji wa damu.
KARATA YA MAUAJI- Sio simulizi tu bali unaenda kuyaishi maisha ya KISIASA kwenye ulimwengu wa kufikirika, unaenda kuwa moja ya sehemu ya fikra za ULIMWENGU wa kutisha wa kisiasa hivyo isome simulizi hii ili ujue nini hatima ya maisha yako ya kisiasa kwenye dunia ya kufikirika.
Simulizi hii inaachiwa siku ya jumamosi kwa dau la shilingi 6000 tu za kitanzania kwa njia ya softcopy.
Itakuwa inapatikana kwangu tu Mimi mwandishi mwenyewe FEBIANI BABUYA.
Mawasiliano yangu ya WhatsApp na kawaida ni +255621567672
Email: thomasibabuya@gmail.com
Unaweza kunitafuta mapema na kuanza kulipia ili uwe kwenye orodha ya miongoni mwa watu wa kwanza kulipata andiko hili.
KARIBU UWE SEHEMU YA HISTORIA YA MAANDISHI YANGU.
KARATA YA MAUAJI INAACHIWA JUMAMOSI ✅
NB.
NI SIMULIZI YA KUFIKIRIKA TU, HAINA UHALISIA WA MAISHA YA NCHI YOYOTE, MTU YEYOTE WALA TAASISI YOYOTE HIVYO MAJINA YA MAHALI NA WATU YAMEWEKWA ILI KUTIA UHALISIA KWA WASOMAJI WAKE KWA LENGO LA KUTOA BURUDANI TU HIVYO ISITAFSIRIWE VIBAYA AU TOFAUTI.
SIMULIZI ZANGU ZINGINE ZA KIJASUSI
1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA
2. I WANT TO DIE JUDGE
3. GEREZA LA HAZWA
4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA (KISASI)
5. NYARAKA NAMBA 72/ DOCUMENT NUMBER 72
6. ELECTION SAGA MONEY IN BLOOD (SAKATA LA UCHAGUZI PESA KWENYE DAMU)
7. JIJI LA KAMARI
8. BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
9. NAFSI ZILIZO TELEKEZWA
10. IDAIWE MAITI YANGU
11. THE ODYSSEY OF GAVIN LUCA (SEASON 2 YA IDAIWE MAITI YANGU)
12. JUMBA JEUSI
13. SIKU ZA MWISHO- GIZA LA MALAIKA (SEHEMU YA MWISHO YA IDAIWE MAITI YANGU)
14. THE JOURNALIST (TONE LA DAMU)