Karaokee Live with Kasie Matata....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230


The vocal is special for you Siyabonga...

The moon is shining...

Stars are brightening the outer space...

She (K' Matata) is screwing the guitar badly like the way she spits Spanish...


WANT THE LOCATION: Just click the picture once...tadaaa...!! am here till midnight.

Cheers!!

Kasinde Platinum Matata.
 
Let's play the Spanish and sing in guitar... Aahahahahhaaa and vice versa...

Matata K.
Navile ka mwezi kenyewe haka ni ka mapenzi nami humuhumu najitungua ntakacho ibuka nacho ntalalanacho mbele😜
okay sweet darling let's play Spanish and sing in guitar!! Mambo Jambo hakuna matata na kasie matata akilisakata😂
 
Kwa hiyo na wewe umeamua kujiita platinum kama yule msanii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji240]

Sent using Jamii Forums mobile app


Mwenye hii Platform ndo kaniita Platinum, sikujiita wala kujibatiza...

Raha ya kicheko utekenywe si ujitekenye...

Wewe nani alikuita Mbwa D au ulijiita mwenyewe..??!

Matata K.
 
Navile ka mwezi kenyewe haka ni ka mapenzi nami humuhumu najitungua ntakacho ibuka nacho ntalalanacho mbele😜
okay sweet darling let's play Spanish and sing in guitar!! Mambo Jambo hakuna matata na kasie matata akilisakata😂


Kenzy....aaahahahahhaahahahaaa una fujo zisizoumiza na zinazohimilika eeheheheheee.

Ooh umenistua mwezi wa malavidavi eeehhh wacha niandae sapraisi kwa wangu mwandani, jisongii na madikodiko ya enzi zetu, enzi zileeeee.....

Kuch kuch otaheee.....

Kasie Mahaba Matata.
 
We bibi unanimaliza kwa u romantic ulionao..[emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app


Woow, nafurahi kuwa nakugusa kunako eneo la mtima wako.

Haya ndo maisha ya Kasie jumatatu hadi jumapili, January hadi December.

Karibu ila jibakishe/jishike mahali walau uweze kupumua usije ukapotelea kwenye dimbwi aahahahahhahaaa

Kasie Jambazi Matata.
 
Huyo wakwako nataka nimnyang'anye jimbo! Nitafanya niwezalo mpk nakupata mapengo wewe!
Unaonaje ukisheherekea mwezi na kijana handsome kama mimi tena niliejazwa mahaba mahabuba kwa kuzaliwa mwezi huu wa mahaba uliojaa huba..?
Nitauita mwezi wa nipe nikupe😜
 
Kasie Mahaba nakusalimia nikitokea Tanga mahaba yaliko zaliwa [emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app


Nkundweee, nimekuhamuu....

Kumbe uko nyumbani, kama hutajali uko Tanga sehemu gani?

Nataka niende Lushoto wikiendi hii nikale matunda damu na apples za kisambaa hukohukoo milimani nikishiba narudi zangu nyumbani natumia tuliii...

Kasie Mahaba.
 


Looh tafrani hii walaahi, mwenzako mie ulevi wangu ni bakulutu wenzangu....

Vile nikisukumiwa na goroli zilizozungukwa na mvi aaahhhh napata burudaaaniii....

Hata tukistua kijoti inakuwa tartiiiibuuu hatutoki jasho... ila tunatweta huku tunachekana aahahahahahahahaaaa

Mkikutana wote vigagula raha sana basi tuu vijana hamuelewagi....

Kasie Mahaba.
 
Kasie mpenda mahaba


Aaabeeeehhh....

Nimekumbushwa huu ni mwezi wa mahaba bin malavidavi...

Acha niongeze spidi...

K' Mahaba Matata.
 
Nkundweee, nimekuhamuu....

Kumbe uko nyumbani, kama hutajali uko Tanga sehemu gani?

Nataka niende Lushoto wikiendi hii nikale matunda damu na apples za kisambaa hukohukoo milimani nikishiba narudi zangu nyumbani natumia tuliii...

Kasie Mahaba.
Karibu swiss cottage, zipo mbele kidogo ya chuo kikuu cha sebastian kolowa; zaman magamba sececondary- huta juta kuwa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let's play the Spanish and sing in guitar... Aahahahahhaaa and vice versa...

Matata K.
This is cool inviting friends over for karaoke.
I am the karaoke king btw here in Garten
 
Bado kijana..nawish ningepata mwanamke romantic kama wew hakika ninge enjoy.[emoji2956][emoji2956]


Nahisi dunia[emoji288] ingekua mahari sahihi zaidi kuishi.[emoji847][emoji847]

Not like hawa wakina Mwajuma ndalandefu ni balaa[emoji29][emoji29][emoji26] they are brainstorm[emoji203]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu swiss cottage, zipo mbele kidogo ya chuo kikuu cha sebastian kolowa; zaman magamba sececondary- huta juta kuwa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app


Ooh Magamba Sekondari nilishafika hapo miaka hiyooo, baridi la pale sio la kitoto....

Asante kwa location ntafika hapo, na wewe utakuwepo?
 
This is cool inviting friends over for karaoke.
I am the karaoke king btw here in Garten

Woow, would love to have a collabo with you the King of Karaoke if you don't mind...

#LoveSingingandDancing
 


Aahahahhahahaa sometimes you are the one who makes a woman romantic....

Speaking of Mwajuma ndalandefu aahahahahahahhaaaa, that's Kigagula....

Kasinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…