mumewanguu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 261
- 259
Wakuu ni mwezi Sasa Kila siku ninakula karanga robo kilo ,nimejikuta naongezeka mindevu Kama Osama
Je ni nn kipo kwenye karanga kinachopelekea ndevu kujaa?
Aweke picha tuoneNdevu za wapi? Tuanzie hapo.....
Nimekupata mkuutestosterone booster
Kwani wewe ndevu huzitaki,utafiti unaonyesha mwanaume asiyekuwa na ndevu anamapungufu kidogo.
Huyo jamaa uliyemweka picha yake kwenye profile yako hana ndevu ila naamini unamhusudu kama kidume.
Trump hana ndevu ila kama umepewa na Mungu akili za kuandika utapima mwenyewe ni mwanaume mwenye mapungufu au lah!
Mi naamini mtu anayetegemea afuge ndevu watu ndo wamjue ni mwanaume,atakuwa na mapungufu mno.Mwanaume ni matendo siyo ndevu
Wakuu ni mwezi Sasa Kila siku ninakula karanga robo kilo ,nimejikuta naongezeka mindevu Kama Osama
Je ni nn kipo kwenye karanga kinachopelekea ndevu kujaa?
Trump ndevu anazo ila anazikwangua kila sikuHuyo jamaa uliyemweka picha yake kwenye profile yako hana ndevu ila naamini unamhusudu kama kidume.