Havinenepi? Viungo na sehemu zote za mwili vyote vinanenepa kwa pamoja. Tatizo lako nadhani liko kwenye size ya ile machine relative to the total body size. Ukimwangali mwanamke mnene lazima machine yake kitaonekana kiduchu. Lakini ukiwaweka wawili, mmoja mwembamba na mwingine mnene ukawaangalia wote kwa muda huo huo ndiyo unaweza fahamu yupi ana machine kubwa. Hata hivyo, sometimes kuna wengine huwa wana inborn charactericts za kuwa na baadhi ya maeneo makubwa kuliko mengine. Kwa mfano macho, midomo, mikono na vivyo hivyo machine za kazi huko chini. Kama ambavyo watu wengine wana macho makubwa, kuna wengine licha ya wembamba wao unaweza shangaa mshine zilivyo kubwa. Iwe ya kike au kiume.