Kapuya aburuzwa polisi

Kapuya aburuzwa polisi

Kosa kubwa sana huyo binti amelifanya kama hakwenda na Mwanasheria kumsaidia kutoa maelezo. Kapuya ni CCM, na CCM ndiyo inaongoza nchi
 
Aende jela ili afanywe kinyume na mazingira aone utamu wake.
 
Kwa hiyo kesi ni îpi kati ya kubaka na kutishia kuua kwa ujumbe mfupi wa maneno?
 
gazeti la shigongo kupata haibu kubwa kutetea uozo, alafu linaoji mtu dakika tano polisi masaa 24, Kapuya ataojiwa wiki tatu hii ndiyo Tanzania bwana.
 
Ngoja tuone kama katika hili Polisi wata react!
Speed hii ya utendaji kama ingelitumika kwa wananchi wote basi Ng. Lwakatare asingelipata mateso yote aliyopata. Ni mawazo tu.

Mkuu wanajikomba tu hao, hawato-react!
 
Kesi ya nyani mikononi mwa ngedere lazima judgement itakuwa on a favor of nyani
 
Back
Top Bottom