Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
“TUMENUSURIKA kuuzwa tena, safari hii na benki!” Ndiyo anavyoanza kusema Brighton Ngella, mkazi wa Kijiji cha Kapunga akiwa na matumaini mapya baada ya Serikali kurudisha hekta 1,870 za kijiji hicho ambazo watendaji wa serkali walimuuzia kwa makusudi mwekezaji.
Ngella anasema, awali ‘waliuzwa’ na Serikali wakati ilipomkabidhi mwekezaji hati ya ardhi yote ya Mradi wa Mpunga Kapunga (Kapunga Rice Irrigation Project – KRIP), lakini sasa wangeweza kuuzwa na benki.
HII HUKU...