Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,863
- 141,437
Hivi Kinjekitile Ngwale alikuwa ni shujaa kwa kuwaunganisha watu wapigane vita vya Maji Maji, au alikuwa ni mtu aliyewahadaa watu kwa kuwaambia risasi za Mjerumani zitageuka maji, watu wakapigana, wakauawa wengi sana?Well, well, well……
Tulibezwa na kutukanwa sana sisi ambao tulimtilia mashaka yule mtu aliyejiita Kapteni Tesha.
Tuliitwa kila aina ya majina isipokuwa jina la mwana wa mungu.
Miezi kadhaa imepita sasa tokea ajitokeze na tokea Watanzania wachinjwe na risasi za Samia lakini huyo Kapteni Tesha hajatoa hata katamko ka kulaani mauaji.
Haikuhitaji mtu uwe mwanachama wa Mensa kujua kuwa huyo Kapteni alikuwa ni magumashi tu.
Huwezi kutoa onyo kwa mtawala yeyote yule kuwa eti asipobadilika basi utampindua halafu ukaendelea na mambo yako kama kawaida.
Mapinduzi huwa hayatangazwi kabla. Yanatangazwa yakishatokea.
Nacheka sana, tena kwa dharau nyingi, kuona kuna watu walidanganyika kirahisi namna ile.
Mambo kama hayo ndo hutenganisha wale wenye akili na busara na wale waongozwao na hisia [wasio na akili].
Hongera Kapteni Tesha [kama bado uko hai] kwa kujipatia umaarufu wa dakika 15.
Ajaye sijui atajiita nani? Luteni Kanali Matondo?
😀
mmebong'aa tu mwezenu anachukuliwa
Wewe ni mfano wa “Mswahili”Well, well, well……

Wewe ni mfano wa “Mswahili”
Komoni Mani- common man
Kumuamini Tesha ilikuwa ni ujinga wa kiwango kikubwa sana. Mimi mpaka leo sijakaa nikaziangalia video zake mpaka mwisho maana dakika niliposikia habari zake nilijua tu huyu ametengenezwa.Well, well, well……
Tulibezwa na kutukanwa sana sisi ambao tulimtilia mashaka yule mtu aliyejiita Kapteni Tesha.
Tuliitwa kila aina ya majina isipokuwa jina la mwana wa mungu.
Miezi kadhaa imepita sasa tokea ajitokeze na tokea Watanzania wachinjwe na risasi za Samia lakini huyo Kapteni Tesha hajatoa hata katamko ka kulaani mauaji.
Haikuhitaji mtu uwe mwanachama wa Mensa kujua kuwa huyo Kapteni alikuwa ni magumashi tu.
Huwezi kutoa onyo kwa mtawala yeyote yule kuwa eti asipobadilika basi utampindua halafu ukaendelea na mambo yako kama kawaida.
Mapinduzi huwa hayatangazwi kabla. Yanatangazwa yakishatokea.
Nacheka sana, tena kwa dharau nyingi, kuona kuna watu walidanganyika kirahisi namna ile.
Mambo kama hayo ndo hutenganisha wale wenye akili na busara na wale waongozwao na hisia [wasio na akili].
Hongera Kapteni Tesha [kama bado uko hai] kwa kujipatia umaarufu wa dakika 15.
Ajaye sijui atajiita nani? Luteni Kanali Matondo?
😀
Naiangalia MO29 kama culmination ya efforts za watu kama Mange Kimambi, Maria Sarungi, Captain Tesha na wengine wa aina hiyo. Bila mchango wao, naamini MO29 wouldn’t have come to pass!Well, well, well……
Tulibezwa na kutukanwa sana sisi ambao tulimtilia mashaka yule mtu aliyejiita Kapteni Tesha.
Tuliitwa kila aina ya majina isipokuwa jina la mwana wa mungu.
Miezi kadhaa imepita sasa tokea ajitokeze na tokea Watanzania wachinjwe na risasi za Samia lakini huyo Kapteni Tesha hajatoa hata katamko ka kulaani mauaji.
Haikuhitaji mtu uwe mwanachama wa Mensa kujua kuwa huyo Kapteni alikuwa ni magumashi tu.
Huwezi kutoa onyo kwa mtawala yeyote yule kuwa eti asipobadilika basi utampindua halafu ukaendelea na mambo yako kama kawaida.
Mapinduzi huwa hayatangazwi kabla. Yanatangazwa yakishatokea.
Nacheka sana, tena kwa dharau nyingi, kuona kuna watu walidanganyika kirahisi namna ile.
Mambo kama hayo ndo hutenganisha wale wenye akili na busara na wale waongozwao na hisia [wasio na akili].
Hongera Kapteni Tesha [kama bado uko hai] kwa kujipatia umaarufu wa dakika 15.
Ajaye sijui atajiita nani? Luteni Kanali Matondo?
😀
Tumuamini Mwigulu Nchemba aliesema kuna mtu amekamatwa na alilipwa bilioni tano kuandaa na kuhamasisha maandano October 29 30 na 31.Kumuamini Tesha ilikuwa ni ujinga wa kiwango kikubwa sana. Mimi mpaka leo sijakaa nikaziangalia video zake mpaka mwisho maana dakika niliposikia habari zake nilijua tu huyu ametengenezwa.
Kilichonishtua miezi hii michache ni kugundua kuwa kuna watu hawaijui kabisa Tanzania pamoja na kwamba wamezaliwa, wanaishi, wanakula na wanakunya ndani ya Tanzania na wanaapa kuwa wao ni wajanja ila kuna mambo ya msingi yanayoihusu Tanzania ni vipofu kabisa.
Mkuu achana na kapteni Tesha,tuendelee kumuamini Mwigulu Nchemba aliesema kuna mtu amekamatwa na alilipwa bilioni tano kuandaa na kuhamasisha maandano October 29 30 na 31.Well, well, well……
Tulibezwa na kutukanwa sana sisi ambao tulimtilia mashaka yule mtu aliyejiita Kapteni Tesha.
Tuliitwa kila aina ya majina isipokuwa jina la mwana wa mungu.
Miezi kadhaa imepita sasa tokea ajitokeze na tokea Watanzania wachinjwe na risasi za Samia lakini huyo Kapteni Tesha hajatoa hata katamko ka kulaani mauaji.
Haikuhitaji mtu uwe mwanachama wa Mensa kujua kuwa huyo Kapteni alikuwa ni magumashi tu.
Huwezi kutoa onyo kwa mtawala yeyote yule kuwa eti asipobadilika basi utampindua halafu ukaendelea na mambo yako kama kawaida.
Mapinduzi huwa hayatangazwi kabla. Yanatangazwa yakishatokea.
Nacheka sana, tena kwa dharau nyingi, kuona kuna watu walidanganyika kirahisi namna ile.
Mambo kama hayo ndo hutenganisha wale wenye akili na busara na wale waongozwao na hisia [wasio na akili].
Hongera Kapteni Tesha [kama bado uko hai] kwa kujipatia umaarufu wa dakika 15.
Ajaye sijui atajiita nani? Luteni Kanali Matondo?
😀
Well, well, well……

Mkuu hata wewe sidhani unajua undani wa Kapteni Tesha. Hata wewe unadhani kitu ambacho hakipo. Kama unajua historia ya kambi ya jeshi na kikosi alichotoka kapteni Tesha ndiyo utajua ni nini hasa kilitokea. Anyways, nikipata muda nitaandika kwa kirefu ili ujue. Kwa kifupi ni kwamba watu ''wakorofi'' na waliochanganyikiwa jeshini wako wengi kweli. Na kikosi cha Airwing ni kama ''kiwanda'' chao. Vitisho kama alivyotoa Tesha viko kila miaka na Tesha alipata umaarufu tu kwa sababu alitumia social media.Kumuamini Tesha ilikuwa ni ujinga wa kiwango kikubwa sana. Mimi mpaka leo sijakaa nikaziangalia video zake mpaka mwisho maana dakika niliposikia habari zake nilijua tu huyu ametengenezwa.
Kilichonishtua miezi hii michache ni kugundua kuwa kuna watu hawaijui kabisa Tanzania pamoja na kwamba wamezaliwa, wanaishi, wanakula na wanakunya ndani ya Tanzania na wanaapa kuwa wao ni wajanja ila kuna mambo ya msingi yanayoihusu Tanzania ni vipofu kabisa.
Tesha alichinjwa kama kuku Mkoani Dodoma..Well, well, well……
Tulibezwa na kutukanwa sana sisi ambao tulimtilia mashaka yule mtu aliyejiita Kapteni Tesha.
Tuliitwa kila aina ya majina isipokuwa jina la mwana wa mungu.
Miezi kadhaa imepita sasa tokea ajitokeze na tokea Watanzania wachinjwe na risasi za Samia lakini huyo Kapteni Tesha hajatoa hata katamko ka kulaani mauaji.
Haikuhitaji mtu uwe mwanachama wa Mensa kujua kuwa huyo Kapteni alikuwa ni magumashi tu.
Huwezi kutoa onyo kwa mtawala yeyote yule kuwa eti asipobadilika basi utampindua halafu ukaendelea na mambo yako kama kawaida.
Mapinduzi huwa hayatangazwi kabla. Yanatangazwa yakishatokea.
Nacheka sana, tena kwa dharau nyingi, kuona kuna watu walidanganyika kirahisi namna ile.
Mambo kama hayo ndo hutenganisha wale wenye akili na busara na wale waongozwao na hisia [wasio na akili].
Hongera Kapteni Tesha [kama bado uko hai] kwa kujipatia umaarufu wa dakika 15.
Ajaye sijui atajiita nani? Luteni Kanali Matondo?
😀
DuhTesha alichinjwa kama kuku Mkoani Dodoma..
Mkuu achana na kapteni Tesha,tuendelee kumuamini Mwigulu Nchemba aliesema kuna mtu amekamatwa na alilipwa bilioni tano kuandaa na kuhamasisha maandano October 29 30 na 31.
Lakini hadi leo hii huyo mtu hajafikishwa mahakamani wala kuhojiwa na inayoitwa tume huru ya kuchunguza vurugu zilizotokea kabla na baada ya uchaguzi.