PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Ametumwa na chama tawala,na hujui ukitukana sana unabeba uwaziri?Mwache atukane uwaziri huo waja!
Mkuu nani ampe komba uwaziri?
Akipewa nafasi hiyo nabadili uraia wa tz nachukua wa somalia
Kwanza anafikiri kwa kutumia tupo
huyu bwana naona amelewa sifa kupitiliza.sikuamini masikio yangu kusikia akimtuakana.warioba. eti warioba ni hovyo hovyo anataka kuvuruga amani ya nchi,
kwanza komba ajue warioba nimtu mashuuri nchini asijilinganishe nae. warioba sio wakufuata mawazo ya chama hatakama hayana tija kwa taifa yeye ni mzalendo,kwanza haku pewa vyeo kama komba kupewa ukapten,kwa kuimba taarabu katika vita ya kagera. aende akaimbe mipasho kule tot na khadija kopa, kulendio maalipake, asitafute kuzawadiwa uwaziri,
Nakumbuka Jenerali Ulimwengu aliisha sema Mwenyezi Mungu anatuhukumu kwa uchaguzi wetu wa hovyo.Hahahaha, hii nchi ni balaa. Hatuna kiongozi hata, mungu utunusuru
Ametumwa na chama tawala,na hujui ukitukana sana unabeba uwaziri?Mwache atukane uwaziri huo waja!
Hahahaha, hii nchi ni balaa. Hatuna kiongozi hata, mungu utunusuru
Msameheni bure huyu raia namba 2 wa Gombe.