mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,912
- 8,635
😂😂😅kweli njaa mbaya
😂😂😅kweli njaa mbaya
Akili ganii???Sababu ya Akili nyingi !🙏
Duu kashakuwa kapten tayari hata 2 years hafika tangu ajiunge jeshi nafikiliWadau hamjamboni nyote
Kapteni Ian Kagame wa Jeshi la Ulinzi Rwanda.
View attachment 2987515View attachment 2987516
Wahutu sio muda mrefu wataliamsha dude. Naona watusi hawataki kuachia madaraka kwa ustaarabu.Wadau hamjamboni nyote
Kapteni Ian Kagame wa Jeshi la Ulinzi Rwanda.
View attachment 2987515View attachment 2987516
Kuna harufu ya vita naisikia huko kwa jiraniWahutu sio muda mrefu wataliamsha dude. Naona watusi hawataki kuachia madaraka kwa ustaarabu.
Huyu dogo lazima wahutu wale kihwa kabla hajaota pembe maana babake yuko ukingoni kutoweka