kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Poleni na swaum wana MMU
Kuna swala naomba niwashirikishe mnipe uelewa pale nisipoelewa,
Hivi hawa kina mama wanaojiunga na VICOBA ni mashari gani wanatakiwa kuyafuata wanapokuwa huko,Ili waweze kukopeshwa?
Naitataji kujuwa kwa sababu yupo jamaa mwenzi wake kapoteza Simu baada ya siku mbili akanunua nyingine kwa laki mbili.
Alipoulizwa umepata wapi pesa ya kununua simu kwa haraka namna hiyo?Alijibu ameenda kukopa Vicoba.
Je vicoba wanakopesha muda wowote?
Wanatumia kigezo gani kukupa kiwango cha fedha?
Michango yao wanaikusanya kwa vigezo gani?
Au binti alidhaminiwa na mtu mwingine akatumia kigezo cha Vicoba?
Karibuni kwa elimu ya Vicoba natumai MMU inawana vicoba wengi tu!