Kapoteza Simu,Kabla Ya Week,Ghafla Kanunua Mpya

Kapoteza Simu,Kabla Ya Week,Ghafla Kanunua Mpya

Maswali mengine

Kama mwanamke anaweza kununua hisa za vikoba....
Kuweka akiba
Kuweka mfuko wa jamii

Atakosa 200,000 ya simu????
 
Hilo halihitaji elimu ya kujua kuwa amehongwa....
 
Ufafanuzi ni kwamba........watakuwa wamevunja kikoba chao.........baada ya kununua hisa........kukopa na kurejesha marejesho........mwisho wa siku kuna kugawana faida.................

vicoba hoiyeeeeee..........

Inaonyesha Preta nae anafaidi vicoba kweli kweli!!
 
laki 2 kwa vicoba ni pesa ndogo sana, Inategemea kiasi ulichowekeza. watu wanakopa more than 5millions kutoka vicoba.
Pia kukopa vicoba ni wakati wowote, sharti kubwa ni salio tu, na unakopa mara 3 ya salio wakati wowote ule ili mradi pesa ya kukopa iwepo. Pesa ya vicoba inatakiwa ikopwe, iwe inazunguka muda wote ili itengeneze faida kwa wawekezaji.
 
Inaonyesha Preta nae anafaidi vicoba kweli kweli!!

Mjini mwanamke hana kikoba.......anafanya nini si arudi kijijini..........Vicoba ndio habare ya mujini........
 
Back
Top Bottom