Display Name
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 423
- 451
Na mimi nikusahihishe kidogo...inawezekana pia hakuumanis "puppy"...bali hiyohiyo Popy ndio jina la mbwa....mana majina ya kibongobongo kuwaita mbwa huwa ni "popy,pijoti,Moris,Tungaraza,Simba,Chui",...mana hata mimi enzi za utoto mbwa wangu wa kufukuzia nyani shambani na kuwindia digidigi na Sungura alikuwa anaitwa Popy(R.I.P)
Lakini ukisoma alivoandika utajua kuwa alitaka kusema Puppy.. ndo nkaone nimwambie tuu.