Kapombe Transfer Saga

Kapombe Transfer Saga

Lonestriker

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
640
Reaction score
241
Taifa Stars' defender, Shomari Kapombe transfer is sure to go down as one of the most controversial dealings for many past and future seasons. His overseas trials and eventual transfer to France fourth division side, AS Cannes was shrouded in more mysteries than the Bermuda Triangle.

After one of the shortest overseas spell that would perhaps be better entered as a footnote in his career CV, Kapombe is set to return to the local league.

Despite his imminent move to Azam being said to be a matter of ‘finalizing' little issues, new twists and turns have not ceased. Following the saga feels like travelling through the famous Usambara mountains range.

Last week, a section of the media reported that Azam have resolved out the standing matter of finance for the deal with AS Cannes. It was further announced that Kapombe has signed a three-year deal.

Curiously, Azam who are known to be quick in announcing their signings did not carry out any official statement in any of their media channels. Unsurprisingly to those who have kept their ears on the ground on this transfer, the shenanigans that have been playing out behind the scenes are still going on.

The said official transfer has been hotly denied by the player's agent. Again, this is not surprising given how things have been playing out among the concerned parties right from the start.

Though Kapombe has not publicly uttered a word, it is not an exaggeration to conclude that the initial good relationship he shared with the agent has been soured.

The agent's perceived stance on trying to see him move back to AS Cannes while apparently it is the brooding player's decision to secure a move back to Tanzania has irreparably damaged their relationship. Even more worrying is the apparent fact that Kapombe appears to have completely burned his bridges with the French outfit. It is also clear that his relationship with the French club which he still belongs to despite training with Azam for the past six months has a reached a point of no return, a U-turn is impossible.

While everyone acknowledge Kapombe's right and freedom to insist on joining a club of his choice, looking at his decision through the lense of football, many are really disappointed.

Seen as a hardworking and disciplined versatile player, there was a sense of expectation on him. His attitude both on and off the pitch saw him transcend the Simba-Yanga rivalry. He was genuinely respected and praised by both sides of the Jangwani and Msimbazi divide. When news broke out that he was heading for trials in France, he was spared from the usual vitriol aimed at a player from one side of the Jangwani-Simba divide trying out his luck overseas. He was seen differently but disappointingly he has turned out to be wale wale, yale yale.

It is expected that in the end, the standing issues will be smoothed over and he will end up at Azam. Though the jury is still out on how his career will end, for many it already feels like it would be just another ordinary career.

Frankly speaking, Kapombe is a decent player, however there is nothing exceptional about him to be certain that overseas opportunities would come knocking on his door. This was his lucky break, there are far better players in East Africa who would gladly sell their souls to the devil just to have such a lucky break.

His handling of the issue, particularly refusing to go back to France after the friendly with Zimbabwe is a black mark on his professionalism that only exceptionally gifted youngsters can overcome. Bar a miracle, Kapombe has flushed his chances of an overseas career down the toilet.

He has given more credence to the stereotypes that our players are not ambitious enough, are too comfortable playing for Simba, Yanga, Azam and Taifa Stars. Just when Samatta and Ulimwengu are busy re-writing the stereotypes script, here comes Kapombe and throws us back.

Kapombe uneventful short spell in France should not be trampled as a fact that our players cannot excel outside our borders. We should not read too much into an individual's failure and pass judgment on the society. Leave alone Samatta, Ulimwengu's determination at TP Mazembe goes against the stereotypes we read in the media about our players.

Thomas Ulimwengu, far from being a polished forward is reaching milestone that more gifted local players would never come close to achieving. His 110% determination and hardwork that has helped him force his way into the Mazembe's ferociously competitive first team set up shows our players can function outside the ‘cozy' Bongo environment where players are nursed and spoon fed in camps for the entire duration of the league.

Lastly, to his credit, Kapombe has tried to keep his mouth shut despite being ‘harassed' for exclusive interviews by the sports tabloids eager for juicy stories and an audience who have been treated to expect hearing local players shooting their feet with silly statements.

Source: SokaTanzania

Kapombe: Maslahi yamenirudisha nyumbani

Bado kuna ubishi mwingi kwa mashabiki wa soka kuhusu ubora wa mabeki wa pembeni wanaocheza Ligi Kuu Bara.

Wengi wanaamini beki wa kulia wa zamani wa Yanga, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso' ndiye aliwahi kuitendea haki nafasi ya beki wa pembeni. Mchezaji mwingine anayetajwa kuitendea haki nafasi ya ulinzi ni beki wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe.

Kapombe ambaye sasa ataichezea Azam kwenye Ligi Kuu Bara msimu ujao aliwahi kufanya majaribio kwenye klabu ya AS Cannes Ufaransa.

Akizungumzia majaribio hayo, Kapombe anasema,"Nilichukuliwa hapa kwenda Uholanzi kufanya majaribio, lakini nilipofika nikapata nafasi Ufaransa kwenye timu ya AS Cannes nikafanya majaribio siku tatu na ile timu ikakubalina na mimi kwamba wanisajili.

"Lakini kilichokuja kutokea baadaye ni kwamba walivunja makubaliano yetu kwani wao walikubaliana na Simba wanitoe mimi bure halafu nikiuzwa kwenye timu nyingine ndipo Simba watapata asilimia fulani na kweli nikasaini miaka miwili, lakini ile timu haikufanya kama vile tulivyokubalina kwenye mkataba hasa katika mshahara,"anasema Kapombe.

Anasema,"Ujue lilipotokea lile tatizo ilinichukua muda mrefu kuamua na wakati huo huo nilikuwa namsikiliza kwanza wakala wangu, pia Simba walikuwa wanakuja kunishauri, lakini wengi walinishauri nirudi katika ile timu mimi nikawaambia nitawezaje kurudi sehemu ambayo sipati maslahi yangu yaliyokuwa kwenye mkataba? na uzuri mkataba unaongea kila kitu hivyo hayo ni matatizo ya hiyo timu sio mimi," anasema Kapombe.

"Matatizo yaliyotokea kule ni mambo ya mshahara, lakini mimi Kapombe nacheza mpira kama kama kazi kwani kuna watu nyuma yangu wananiangalia, familia yangu yote inaniangalia mimi ndio maana nilienda AS Cannes kwa lengo la kuisaidia familia yangu, nisingeweza kuvumilia kuishi bila mshahara nikaamua kurudi nyumbani na kujiunga na Azam,"anasema Kapombe.

Chanzo: Mwananchi

Dogo alikuwa na kesi FIFA, akadanganywa jinsi ya kuandika barua niliyoletewa kupitia mwanasheria wa Bhakresa. Nikamwambia abadilishe, akatoa nje. Nikaipeleka FIFA, ikakataliwa. Nikamtumia copy mbili (na nikam-cc Malinzi, na viongozi wengine wa karibu yake), nikampa barua mbili. Moja kuendelea na kesi, ya pili kuachana na kesi. Zilikuwa katika format inayotakiwa na FIFA. Hakuzituma hizo barua, alikataa (naamini wapambe wake). Nikamwambia nimeelezwa na FIFA, usipojibu wanatupa kesi. Na kwavile nilijua hana kesi nilimpatia option mbili aamue mwenyewe na wapambe wake. Ofcourse walishituka wakijua I know something.
Baada ya hapo ndio hao jamaa wakani omba niwasaidie.
Aliyeharibu uhusiano kati yangu na mchezaji ni Azam. Wasipomnunua nategemea watamhudumia mwaka mzima.
 
Nimemuangalia kwenye mechi za Taifa Stars, kusema ukweli hajafikia hata asilimia 70 ya kiwango chake cha zamani. Dhidi ya Zimbabwe, hasa mechi ya kwanza, alikuwa chini ya kiwango sana. Kufanya mazoezi bila mechi za ushindani itaendelelea kumgharimu kiuwezo hili suala lisipomalizika haraka.
Tuombe hili suala liishe haraka, kijana arudi uwanjani.
 
unaweza kuiweka hii habari ktk kiswahili? daah hicho kizungu kilichotumika ni balaa sana
 
Dogo alikuwa na kesi FIFA, akadanganywa jinsi ya kuandika barua niliyoletewa kupitia mwanasheria wa Bhakresa. Nikamwambia abadilishe, akatoa nje. Nikaipeleka FIFA, ikakataliwa. Nikamtumia copy mbili (na nikam-cc Malinzi, na viongozi wengine wa karibu yake), nikampa barua mbili. Moja kuendelea na kesi, ya pili kuachana na kesi. Zilikuwa katika format inayotakiwa na FIFA. Hakuzituma hizo barua, alikataa (naamini wapambe wake). Nikamwambia nimeelezwa na FIFA, usipojibu wanatupa kesi. Na kwavile nilijua hana kesi nilimpatia option mbili aamue mwenyewe na wapambe wake. Ofcourse walishituka wakijua I know something.
Baada ya hapo ndio hao jamaa wakani omba niwasaidie.
Aliyeharibu uhusiano kati yangu na mchezaji ni Azam. Wasipomnunua nategemea watamhudumia mwaka mzima.
dfk-agent Dennis unataja jina langu hapa? Ninaamini katika mkataba wako na Bw Kapombe kuna " confidentiality " clause,hii clause ni standard katika mikataba yote duniani.Utajisikiaje mtu aje uwanja wa wazi kama huu wa jf aanze kuzungungumzia biashara zako binafsi? My advice ,keep this between yourself,simba sc,cannes as,Azam na FIFA/TFF,at the end of the day itakuwa ni vyema kwa wahusika wote.
 
Last edited by a moderator:

Huo usiri wenu ndo unaoharibu soka la Tanzania
 
Last edited by a moderator:
dfk-agent Dennis unataja jina langu hapa? Ninaamini katika mkataba wako na Bw Kapombe kuna " confidentiality " clause,hii clause ni standard katika mikataba yote duniani.Utajisikiaje mtu aje uwanja wa wazi kama huu wa jf aanze kuzungungumzia biashara zako binafsi? My advice ,keep this between yourself,simba sc,cannes as,Azam na FIFA/TFF,at the end of the day itakuwa ni vyema kwa wahusika wote.

My sincere apologies. Pointi niliyotaka kusema ni kwamba sijaficha kitu chochote katika ushauri wangu na situation hii. Nimekuelewa.
 
Kapombe: Maslahi yamenirudisha nyumbani

Bado kuna ubishi mwingi kwa mashabiki wa soka kuhusu ubora wa mabeki wa pembeni wanaocheza Ligi Kuu Bara.

Wengi wanaamini beki wa kulia wa zamani wa Yanga, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso' ndiye aliwahi kuitendea haki nafasi ya beki wa pembeni. Mchezaji mwingine anayetajwa kuitendea haki nafasi ya ulinzi ni beki wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe.

Kapombe ambaye sasa ataichezea Azam kwenye Ligi Kuu Bara msimu ujao aliwahi kufanya majaribio kwenye klabu ya AS Cannes Ufaransa.

Akizungumzia majaribio hayo, Kapombe anasema,"Nilichukuliwa hapa kwenda Uholanzi kufanya majaribio, lakini nilipofika nikapata nafasi Ufaransa kwenye timu ya AS Cannes nikafanya majaribio siku tatu na ile timu ikakubalina na mimi kwamba wanisajili.

"Lakini kilichokuja kutokea baadaye ni kwamba walivunja makubaliano yetu kwani wao walikubaliana na Simba wanitoe mimi bure halafu nikiuzwa kwenye timu nyingine ndipo Simba watapata asilimia fulani na kweli nikasaini miaka miwili, lakini ile timu haikufanya kama vile tulivyokubalina kwenye mkataba hasa katika mshahara,"anasema Kapombe.

Anasema,"Ujue lilipotokea lile tatizo ilinichukua muda mrefu kuamua na wakati huo huo nilikuwa namsikiliza kwanza wakala wangu, pia Simba walikuwa wanakuja kunishauri, lakini wengi walinishauri nirudi katika ile timu mimi nikawaambia nitawezaje kurudi sehemu ambayo sipati maslahi yangu yaliyokuwa kwenye mkataba? na uzuri mkataba unaongea kila kitu hivyo hayo ni matatizo ya hiyo timu sio mimi," anasema Kapombe.

"Matatizo yaliyotokea kule ni mambo ya mshahara, lakini mimi Kapombe nacheza mpira kama kama kazi kwani kuna watu nyuma yangu wananiangalia, familia yangu yote inaniangalia mimi ndio maana nilienda AS Cannes kwa lengo la kuisaidia familia yangu, nisingeweza kuvumilia kuishi bila mshahara nikaamua kurudi nyumbani na kujiunga na Azam,"anasema Kapombe.

Chanzo: Mwananchi
 
My sincere apologies. Pointi niliyotaka kusema ni kwamba sijaficha kitu chochote katika ushauri wangu na situation hii. Nimekuelewa.

Unaomba radhi huku mbona kwenye ile thread kuu baadhi yetu tulikwambia wazi kuwa ulikuwa unavunja confidentiality kwa kuweka mambo hadharani mengine bila idhini ya mteja wako lakini lakini uka-brush off?

Halafu Invisible mbona mmefuta kabisa ile thread? Kama suala limeisha ni bora kuifunga kuliko kuifuta kabisa so that in future people can learn from yaliyotokea yasitokee tena.

Kapombe hatakuwa mchezaji wa mwisho kwenda kucheza nje ya nchi so yaliyoandikwa kule yanaweza kuwa useful to others.

Kama kuna posts ambazo zinavunja sheria za JF au sheria nyingine ni bora ziondelewe badala ya kufunga thread nzima.
 
Ndg dfk - agent embu tujuze! Simba wame admit kuwa wamepewa chao 60 millions, hivyo kiroho safi wamebariki Kapombe kuchezea Azam msimu ujao.! Wewe umeshapewa chako au wamekupiga changa...!Bado sisi wadau wa soka tunasikitika dogo kurudi bongo!
 
Bila shaka kitu kingine kinachotukwamisha kwa asilimia kubwa ni elimu ya vijana wetu.! Hivyo wengi wakienda mbali sana labda Kenya, Oman, Msumbiji,SA na DRC.
 
Unaomba radhi huku mbona kwenye ile thread kuu baadhi yetu tulikwambia wazi kuwa ulikuwa unavunja confidentiality kwa kuweka mambo hadharani mengine bila idhini ya mteja wako lakini lakini uka-brush off?

Halafu Invisible mbona mmefuta kabisa ile thread? Kama suala limeisha ni bora kuifunga kuliko kuifuta kabisa so that in future people can learn from yaliyotokea yasitokee tena.

Kapombe hatakuwa mchezaji wa mwisho kwenda kucheza nje ya nchi so yaliyoandikwa kule yanaweza kuwa useful to others.

Kama kuna posts ambazo zinavunja sheria za JF au sheria nyingine ni bora ziondelewe badala ya kufunga thread nzima.
Haijafungwa mkuu, icheki hapa: [h=1]Maswali juu ya Kapombe, Wakala wake na Maendeleo[/h]
 
Mkuu ilikuwa imeondolewa kabsa baada ya kulalamika imerudishwa ila imefungwa; huwezi kuchangia tena.
Sawa, labda mjadala uikuwa unaenda ndiko siko ndio maana wasimamizi wakaona waufunge lakini ubaki kama kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom