msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
Nilimuangalia kwenye tv hakuonesha kiwango cha maana tena alifanya makosa mengi sana..
mara ya kwanza alicheza kama kiungo,na mara ya pili alicheza kama beki wa kushoto kama uliona juhudi za goli lilivyopatikana nadhani unaelewa ninachozungumza.