Kapimwe akili kama unawaamini UKAWA

dalili ya moto yaweza kuwa ni moshi.....km huamini basi amini unavyoamini ni sawa pia
 
12.Nina shaka na mleta topic kama kweli hajawahi pimwa na kuanza matibabu wodi ya vichaa halafu
akakimbia bila kumaliza dozi kwa kuiamini ccm mpaka leo
 
Bila shaka mleta mada anaishi milembe... Leo kapata nafuu kidogo.. Cku zingine n sheeda hawez kupost kichaa kina kuwa Juu sana... Hongera kwa nafuu ya leo
 
mbona bado? awamu hii mtakuja hadi na staili ya mdundiko
 
Alafu mleta mada ndy wa kwanza kuwapiga mzinga ukawa.
Akili yako itabidi ku noki na ccm yko
 
Kwani wakati wa Ukoloni Tanzania tulikuwa nchi ya ngapi kwa utajiri?
Wakati wa ukoloni hakukuwa na nchi inayoitwa Tanzania bali kulikuwa na "German East Africa" chini ya ukoloni wa wajeremani, baada ya vita kuu ya kwanza kukawa na "Tanganyika" chini ya waingereza!
 
Mi nahisi jamaa kakurupuka tu au labda cyo mtanzania halisi kwa sekeseke hili bado anawapa kipaumbele ccm kwel???
 
Kwenye uchaguzi this year tu tawapa za
 

Attachments

  • images-5.jpeg
    6.4 KB · Views: 54
Leo ndo nimethibitisha akili nywele dizain aliyeandika thread hii atakua kanyoa kipara
 
Tulisema mapema vijana mnaoamini ktk Ukawa Mkapimwe akili kwani hakuna Chchote cha msingi huko UKAWA sasa leo hii mmebakia na nyimbo za vigodoro tu.

Hakuna cha Lowassa wala Maalim Seif
 
Umeandika vizuri lakini kuna baadhi ya mambo bado uwezo wako wa kupambanua mambo bado ni mdogo sana. Pia mambo ya vyama kwasasa mda wake umepita, watu washauliwe namna ya kupata shilingi. Tukikaribia 2020 ndio mambo ya uchama yaendelee, kwasasa kiongozi yeyote aliyechaguliwa chama X na akapita huyo ni kiongozi wa wananchi wote haijalishi chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…