Kapime UKIMWI

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,870
34,352
Kapime Ukimwi.jpg
 
Kitu ambacho ni uongo ni hiki hapa. Yani kwenye mass ya watu weng hivi eti udhibit Ukimwi? Hapa nikaona kuna longo longo nnyiiiingi katika slogan
 
KUPIMA NGOMA NI KIPAJI SIO KILA MTU ANAWEZA, Jambo hili huongeza wasiwasi kwa mpimaji, hasa una poona sample ya damu inachukuliwa kwenye mshipa mkuu wa damu mkononi, kisha unaambiwa subiri kidogo hapo nje, kisha unaitwa na kudadisiwa maswali na kuambiwa usubiri tena nje... Daaaaah!! Unaweza kupata dalili za ngoma hapohapo na kuanza kuharisha..
Mara majibu yanaonyesha uko vizuri, uko HIV-
unaanza kufikiri au wamenidanganya tu ili nitulize mawazo kumbe uko mzima kweli..... Shda
NB:USIWE NA KIHEREHERE CHA KUPIMA SIKU WAKIKOSEA VIPIMO NDO UTAJUA
 
teh teh teh ..
nimefanya sana hio mkuu, zaidi ya mara nne.
Hahahaah me nilikamatwa wife alipokuwa mjamzito, clinic waligoma kumuhudumia hadi nami niende tupime Ngoma. Ajabu kumbe mwenzangu ndio alikuwa muoga zaidi yangu, nusura azimie. Me nikajikaza kiume hadi majibu nikayapokea.
 
Tanzania bila ukimwi hio haiwezekani ila tanzania bila kikwete imewezekana na ni jambo rahisi na la furaha.
 
Deception njoo huku tumeambiwa tukapime Ukimwi...

Mkuu,"tatizo kubwa la watanzania ni ujinga wa kihalaiki".Ujinga huu umechanganyika na akili/mazoea ya kutopenda kuhoji/kujiuliza mambo rahisi sana na ya msingi.

1.Watu wengi hawajui hata maana ya neno UKIMWI,hawajui kama ukimwi ni kifupi tu cha 'upungufu wa kinga mwilini' ambao kila mtu anao/anaweza kuwa nao bila kujali kama kuna HIV au hakuna na upungufu huu unatoweka kama mtu atabadili hali iliyomsababishia upungufu huo.Madaktari wote wanajua kwamba unaweza kuwa na upungufu wa kinga hata bila ya huyo HIV(ambaye pia ni feki).

Kama hili ni kweli,basi ni ukweli usiopingika kwamba haiwezekani watu kuishi bila upungufu wa kinga mwilini(ukimwi) mahali popote pale duniani. Slogan hizi za 'tanzania bila ya ukimwi......' ni za kibiashara tu,tena ni biashara inayofanywa dhidi ya wajinga,tena wajinga wasio hata na chembe ya akili ya kuhoji.

2.Sasa tuchukulie kwamba ukimwi unasababishwa na HIV(kitu ambacho si kweli);Hata kama ukimwi unasababishwa na HIV,Tanzania bila ukimwi haiwezekani kutokana na kwamba kuna watanzania wengi na wageni wengi wanatoka na kuingia tena tanzania kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kibiashara nk,hivyo basi kama kenya au china au USA au Brazil nk kuna ukimwi na ukimwi unaambukizwa kwa njia ya ngono,basi Tanzania bila ukimwi haiwezekani.

Sababu kubwa ya watu wengi kuwa wajinga kiasi hiki kwenye suala hili la HIV/AIDS ni ulemavu wa kiakili wa kutokuwa na utamaduni wa kuhoji na badala yake kuwa na mtindio wa kupenda kupokea kila kitu eti kwasababu mzungu ndio kasema.

Watu hawajui kama hata suala zima la HIV/AIDS pia ni movie kama movie nyingine tunazoziona,hakuna uhalisia hata kidogo.

HIV/AIDS ni upumbavu tu kama ulivyo upumbavu mwingine,mtu anayeshabikia na kuogopa HIV ninamsikitikia sana.Watu wanaishi kitumwa bila ya wao kujijua,ni ngumu sana kwa jamii kama hii yetu kubadilika kimtazamo kwenye suala kama hili.

Siku zote wajinga ndio waliwao.Mtu akubali au akatae,uamuzi ni wake mwenyewe,faida au hasara ni yake mwenyewe.Nimetimiza wajibu wangu.
 
Mkuu@Deception, Nenda na wewe ukapime unaye waambia watu kuwa hakuna Ugonjwa wa Ukimwi (upungufu wa kinga mwilin) kama ni kweli hakuan ugonjwa wa Ukimwi upungufu wa kinga mwilin nenda na wewe ukapime uje utupe majibu yako hapa kwenye Jamii forums. Ili tupate kujuwa kuwa wewe hauna huo ugonjwa wa upungufu wa kinga mwilin?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom