Kapeace Kapeace kapeace..

Hahah katika formula tano alizonifundisha mama za kuaproach apo nimemtumia "love mathematics " bado "economy ","technical "
Mkuu outbox [emoji393] yako haifanyi kazi?
 
Napenda wazalendo angalia usikose kombe swetiiie
Ngoja nimwachie mzalendo....


Nilitumia maneneno

'Kapeace Kapeace Kapeace'

Nimanaanisha nilikuwa nataka ka 'amani' ikawa na taswira tofauti...

Shemeji yako Tajiri msomi, wifi wa Kapeace, tulikuwa tunmenuniana...

Sasa nilikuwa nataka ka Amani angalao kadogo.....

Tajiri msomi... Utanipa mrejesho....


Kapeace.... Great name
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…