Kapotea sasaKishakolea huyo,kazi kwako mkuu,x mass bado miezi 2 tu
.....Mb zake ametumia, vocha yake umekula, pesa yake kakupa........... Utatoa utoi!! Utatoa utoi!!Hee vipi tena joblee
Hiyo ni id yangu nyingine, tuendelee na id hii!!Sitoi namba mwambie aje hapa kwanini akutume wewe
Domo zege,labda anajipanga arudi vp,km vp mfuate pm [emoji1]Kapotea sasa
Kanituma kwasababu mimi ni profesheno kwenye hii tasnia ya kua kidege posta.Sitoi namba mwambie aje hapa kwanini akutume wewe
Mh na wewe tena, mtanifanya nikimbie humu sasa angalia msivunje ndoa zenu humu mi nachangamsha kijiwe tu
Mi ntakujaga kukupiga sound tuu sku1,we tulia tu,..maana unamaujuz sana,..sasa nahis tutaendana maana bata hapa ndo nyumban,mchezo mbaya ndo usiseme..hahahahaMh na wewe tena, mtanifanya nikimbie humu sasa angalia msivunje ndoa zenu humu mi nachangamsha kijiwe tu
Watu wanadatishwa na polio
Sitoi.....Mb zake ametumia, vocha yake umekula, pesa yake kakupa........... Utatoa utoi!! Utatoa utoi!!
Yote inawezekanaMe nikadhani jamaa anataka walau ka amani nchini, alivoita kapeace...,, Kumbe jina l mtu, [emoji5]
Hahahahaaa mtu mmoja ktk sura mbiliHiyo ni id yangu nyingine, tuendelee na id hii!!
Pm iko open yeye tu, nipo tyr kwa wito wake akuje tuDomo zege,labda anajipanga arudi vp,km vp mfuate pm [emoji1]
Mh wewe kuwadi usije taka kuonja kbl ya mwenye mzigoKanituma kwasababu mimi ni profesheno kwenye hii tasnia ya kua kidege posta.
PS. Mimi ni dereva bodaboda kazi yangu inahusisha hiki alichonituma.
Msaidieni basi, ndo yaleyale ya kusimamisha mbele za watuUnalo hilo shauri yako watu wamekusoma sasa wanataka utamu ila shida kigugumuzi 😱😱😱
Heeee Hii kaliMi ntakujaga kukupiga sound tuu sku1,we tulia tu,..maana unamaujuz sana,..sasa nahis tutaendana maana bata hapa ndo nyumban,mchezo mbaya ndo usiseme..hahahaha