Kapata Div. 1.8, anaweza kusomea udaktari?

Kapata Div. 1.8, anaweza kusomea udaktari?

Mr Pot

Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
28
Reaction score
22
Jamani dogo langu kapata one ya 9(pcb), je anaweza pata course ya MD kwa vyuo vya serikali?
 
maana kuna dogo yudom, mwaka jana alikua na one ya 8 alikosa akachaguliwa nursing, ndo anamuogopesha kwamba hawezi pata chuo cha serikali
Ni kutaka yeye mwenyewe maana swali lako ni general Sana kama mwenye two au three anaweza pata MD je wa one?
 
kama huna data tulia nawe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ujue kuchaguliwa inategemea walioomba wamefaulu kiasi gani

Ulipaswa utuletee credit zake siyo general overview
Yawezekana hiyo one ya 9 ana somo la dini humo [emoji1787]

Siku hizi hawataki somo la dini

Tuambie mfano kapata one ya 9 ana c frat
 
ok...ana C, B, D
 
maana kuna dogo yudom, mwaka jana alikua na one ya 8 alikosa akachaguliwa nursing, ndo anamuogopesha kwamba hawezi pata chuo cha serikali
😂😂 mwaka jana mdogo wangu alikuwa na 8 pcb wakamchomoa vyuo vyote MD ila akapata St.francis Ifakara ambapo mwaka huu nimeskia next week ndiyo wataanza pokea maombi
 
[emoji23][emoji23] mwaka jana mdogo wangu alikuwa na 8 pcb wakamchomoa vyuo vyote MD ila akapata St.francis Ifakara ambapo mwaka huu nimeskia next week ndiyo wataanza pokea maombi
ahaa...vp chuo kingine cha private chenye ada nafuu ni kipi
 
Kuna Kampala wana MD ya surgery ila ada nmeskia ni 6.5M pia bugando wana 5.2M hv
 
maana kuna dogo yudom, mwaka jana alikua na one ya 8 alikosa akachaguliwa nursing, ndo anamuogopesha kwamba hawezi pata chuo cha serikali
Mambo ya mwaka jana yanahusiana vipi na mwaka huu?

Mwambie aombe chuo anachotaka tena akiweza kama inawezekana aombe vyuo vyote aache kusema anataka vyuo vya serikali..maana hakuna anayejua hali ya ushindani ikoje..

Alafu kwann unamsingizia mdogo wako wakati muhusika ni wewe?
 
Back
Top Bottom