Kaomba kuwa baba wa kijacho

Kaomba kuwa baba wa kijacho

Kwa hiyo ndio mmeamua kuja kunitangaza huku jamani. Kweli nimeumbuka mtu mzima just a joke.
Ila uhalisia ni hivi huyo binti asikubali kumhalalisha huyo jamaa kuwa baba kijacho since end of the day italeta conflict na baba halisi. Na atakuwa amejidhalilisha yeye katika familia yenu kwani hyo kesi itawahusisha wazazi pale baba halisi akijitokeza.Na kuhusu huyu bwana kibamia mshauri alepate mlo kamili na aende kupata ushauri wa kisaikolojia ili kupunguza msongo wa mawazo inavyoonekana hajiamini kwa hayo maumbile yake.
 
Mh nimeshindwa hata kutoa ushauri, hii dunia ngum jamani
 
Fiedel Castro, the field Marshal himself nasikia ukimdrop kwenye kilindi kirefu namna gani baharini he wil find his way back bila life jacket... Niko cuba najifunza ku-survive bila life jacket
Bora hata wewe unaejifunza kuliko wanaoilalamikia bahari huku wamesimama kando
 
Haya mambo ya ushikaji sijuwi msela wangu namfanyia mapande ya kumuunganishia eti kwa ndugu zangu mimi nilishakataa ujinga huo na sio swala la kibusara sana,rafiki yako unajua uchafu wake wote jinsi anavyobadirisha wasichana bado unampa connection kwa binamu yako, sasa kama sio kujishushia heshima ni nini,kingine huyo binamu yako anatoa siri za mtu anayempenda maswala ya vibamia mbona binamu yako ananitia mashaka hivyo amezoea mamitambo ama,na ujuwe mwenye mimba ipo siku atacharuka mtaisoma namba sio kama hajali ipo siku atamtaka mwanae damu ni nzito kuliko maji..
 
wanawake huwa hawajielewi nini wanataka. ukifuatilia mambo ya wanawake unaishia kulazwa wodi ya vichaa
Hoja yako haina mashiko eneo hili, huyo dada ameshasema shida ni kibamia. sasa wanawake hawajielewi kwa lipi?
 
Wakuu habari za majukumu?naomba ushauri wa dhati
Nina rafiki yangu nafanya nae kazi ila namuonaga anateseka sana kwenye mahusiano na sijuagi haswa kama mpenzi wake ni nani kwani wengi huaga wanamzingua,wanamlia hela na kusema hawamtaki tena wakati mwingine wakishaenda kulala nae kesho unaona mwanamke hamtaki jamaa,mimi sijawahi kufatilia sana japo ukimuuliza jamaa anasema anamkosi na anataka aelekezwe kwa waganga manguri wa mambo ya mahusiano na tunaishiaga kumcheka tu

Lakini kuna wakati ulifika mwaka juzi ule mwishoni kwangu alikuja binamu yangu kwaajili ya kuanza chuo mwaka wake wa kwanza na alikaa mpaka akafanya taratibu zote zilivyokamilika akaenda zake chuo,ila kila likizo akawa anakuja kwangu kabla hajaenda kwao na akitoka huko anapitia kabla hajaenda chuo,jamaa yangu akampenda na akasema anataka kumuoa then mimi nikamwambia aongee nae mwenyewe kwani yuko mwaka wa pili wakati huo(huyo B wangu)wakaongea na kukubaliana sasa walienda mpaka Arusha kwa shangazi yangu wakaendelea lakini ghafla wakawa hawana mawasiliano mazuri kama tulivyowazoea

Juzi yule binamu yangu alikuja home na kuniomba ushauri kuhusu masuala ya mahusiano kwani age zetu zinaendana ALISEMA KAACHANA NA JAMAA YANGU MUDA KIDOGO KWA KUWA JAMAA ANAMAUMBILE KAMA YA MTOTO(KIBAMIA) NA MCHEZO AKIINGIZA AMESHAMALIZA NA HAIWAKI TENA MPAKA SIKU MOJA AU MBILI ILA HAKUTAKA KUACHANA GHAFLA KWAKUWA WALISHAENDA KUTAMBULISHANA HOME SEMA YEYE BINAMU YANGU KWA WAKATI HUU SASA (MWANAMKE)AMEPEWA MIMBA NA MTU MWINGINE YAANI PALE ALIPO ANAYO NA JAMAA ANAOMBA ATAJWE YEYE KUWA NDO MUHUSIKA(YAANI YULE RAFIKI YANGU MIMI,KIBAMIA) ILI APATE KUMUOA KWA URAHISI HUYU MWANAMKE,nikamuulizia mwenyewe aliyempa hiyo mimba dada akasema hana hata muda na wala hajali lolote lakini anafahamu vizuri kuhusu hiyo mimba sasa nikamwambia anitafute jumapili nimshauri

Sasa wakuu naomba huyu nimshauri nini na jamaa yangu kibamia ameomba mtoto apewe yeye/atajwe yeye kama ndo muhusika?
eeeeeeeeh ukitaka mwanamke asikupende usimfikisheee ....nakumbuka niliwah tembe........a na mdada nilimmm sana yeye akataka mstakabadh wa mtoto .........na mie mtoto stak ,,,,nika run nikachange linamba
 
Huyo mwanamke asimpe huyo jamaa mtoto ambaye siyo wake... huko mbeleni itakuja kuleta shida..
 
Hoja yako haina mashiko eneo hili, huyo dada ameshasema shida ni kibamia. sasa wanawake hawajielewi kwa lipi?
Huyo Dada yy aendelee na kibamia chake tu kama vp huyo binamu yako ndio atumie Dawa ya kupunguza shimo kibamia kitoshe
 
Binamu asifanye masihara na swala hili hata kidogo, huyo jamaa kashagundua uwezo ni mdogo katika shughuli na possibly hana uwezo wa kutia m2 na kwa mwanaume wa kawaida si rahisi kukubali upuuzi huo, binamu itamgharimu akiolewa naye kwa kuwa baada ya muda mfupi lazima atahitaji unyumba na atakaekua naye hawezi kumtosheleza itabidi achepuke, jamaa akigundua ataua m2 kwa inferiority complex. Suluhisho binamu akubali amekosea na utafute suluhisho la kudumu.
 
Nashukuru kiongozi kwa ushauri huu!
 
Huyo Dada yy aendelee na kibamia chake tu kama vp huyo binamu yako ndio atumie Dawa ya kupunguza shimo kibamia kitoshe
Mh inawezekana kweli,hyo kpunguza umbile?
 
Haya mambo ya ushikaji sijuwi msela wangu namfanyia mapande ya kumuunganishia eti kwa ndugu zangu mimi nilishakataa ujinga huo na sio swala la kibusara sana,rafiki yako unajua uchafu wake wote jinsi anavyobadirisha wasichana bado unampa connection kwa binamu yako, sasa kama sio kujishushia heshima ni nini,kingine huyo binamu yako anatoa siri za mtu anayempenda maswala ya vibamia mbona binamu yako ananitia mashaka hivyo amezoea mamitambo ama,na ujuwe mwenye mimba ipo siku atacharuka mtaisoma namba sio kama hajali ipo siku atamtaka mwanae damu ni nzito kuliko maji..
Sawa mkuu,ila kama binadam ukifikwa na jambo shingoni lazima utatafuta usaidizi pia isitoshe binam kaniambia kwakuwa mm n mtu wake wa karibu sn!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom