Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,752
- 21,974
Not to that extent!!hahahahahaha pole sana !kwahyo kama kuna mambo hatufanyi vyema nisifie tu ? bas kwa tatarifa fupi nalipenda kabila langu !na huwa sijifichi hata kidg kwanza mie nikiskia neno sukuma huwa naanza kucheka !kuna vitu huwa nacheka mimi kaMa mm !hata tukiwa home siye hukumbushiana vituko na ushamba wa wasukuma !again POLE SANA SANA
anyway hebu yaishe asee, maana wengine sisi ndo wafia dini ya kisukuma, tusije tukapimana mkojo baadae

mwanaume mwenzio?? Duh! Mungu ameweka hukumu kali kwa kitu hiyo. Tuache unafiki adhabu ya hiyo inajulikana lakini tusiisemee sana tumuachie mwenyewe.

