Kaoa mke mwenye mtoto: kizaaza

Kaoa mke mwenye mtoto: kizaaza

Mwalimu S

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
41
Reaction score
33
Salam a friend need advice..plz
..anasema he married a Woman
whom already have kids and he love
both of them...the kids and their
mum but the problem is these kids
hawana adabu kabisa...kama.kuna
bint ye aja kuchelewa na akimuuliza
usiku huu watoka api mtoto wakike
mama yuwakasirika na mtoto nae
yuwamjibu your not my dad ....you
cant tell me anything I can do
whatever I want na pia wale wadogo
zake pia kama kumetokea mshkil
akijaribu wakanya wanaamtusi cha
ajabu pia mama hawakatazi ...hivi
amekua hana say pale ndani
...nastaki kupeana talaka je
nifanyaje?
 
Haaa haaaa hiyo ni shida waswahili wanasema bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kua mke mwema.Hao watoto ni majanga tena majanga kweli kweli.
 
Salam a friend need advice..plz
..anasema he married a Woman
whom already have kids and he love
both of them...the kids and their
mum but the problem is these kids
hawana adabu kabisa...kama.kuna
bint ye aja kuchelewa na akimuuliza
usiku huu watoka api mtoto wakike
mama yuwakasirika na mtoto nae
yuwamjibu your not my dad ....you
cant tell me anything I can do
whatever I want na pia wale wadogo
zake pia kama kumetokea mshkil
akijaribu wakanya wanaamtusi cha
ajabu pia mama hawakatazi ...hivi
amekua hana say pale ndani
...nastaki kupeana talaka je
nifanyaje?
hii lugha waachie wenyewe mkuu duu ndiyo maana magu ni mkuu wa nchi na ana PhD ila lugha inasumbua ungeandika tuu kwa lugha ya mama au ndiyo bit kungolea madem jf maana wanaume nyinyi wa Dar ndiyo gear zenu
 
Haaa haaaa hiyo ni shida waswahili wanasema bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kua mke mwema.Hao watoto ni majanga tena majanga kweli kweli.
Kama huyo mtoto wa kike ukiendelea kumfwatilia sana hachelewi kukuzushia kashfa kuwa unamtaka kimapenzi
 
hii lugha waachie wenyewe mkuu duu ndiyo maana magu ni mkuu wa nchi na ana PhD ila lugha inasumbua ungeandika tuu kwa lugha ya mama au ndiyo bit kungolea madem jf maana wanaume nyinyi wa Dar ndiyo gear zenu
Hahaaaa lugha ya malkiaà hii ilikuja na meli na ndege si mchezo wanaume wa Daaaaaar waitumiia hata wakibofoa
 
Salam a friend need advice..plz
..anasema he married a Woman
whom already have kids and he love
both of them...the kids and their
mum but the problem is these kids
hawana adabu kabisa...kama.kuna
bint ye aja kuchelewa na akimuuliza
usiku huu watoka api mtoto wakike
mama yuwakasirika na mtoto nae
yuwamjibu your not my dad ....you
cant tell me anything I can do
whatever I want na pia wale wadogo
zake pia kama kumetokea mshkil
akijaribu wakanya wanaamtusi cha
ajabu pia mama hawakatazi ...hivi
amekua hana say pale ndani
...nastaki kupeana talaka je
nifanyaje?
Heading umeandika vizuri ila hyo habari umetumia kidhungu cha akina kidawa wa buguruni mnyamani
 
Kuna njia mbili tu mbele yake na mwamuzi ni yeye ama amtaliki huyo mmama au abaki kuwa mnyonge
 
Siku nyingine andika tu kiswahili utaeleweka vizuri sana.

Mwisho wa siku yeye ndo mwenye maamuzi, kuacha ama kuendelea.
 
Hakuna naamna sasa bora kuwa simba kwa siku moja kuliko kuwa kondoo maisha Mwanaume ikifikia hatua hyo ni hatari sana kuliko hata bangi wanazotumia mateja wa tandale...hapo aoneshe msimamo kama mwanaume sasa kama swala kama hili mwanaume unakuja kuomba ushauri eti ufanyaje....kwa sababu talaka eti utaki toa...kwan hao watoto baba zao hawana na sheria inasema mtoto zaidi ya miaka 7 Anaweza kukaa kwa baba yake...Funika kombe mwanaharamu apite.
 
hii lugha waachie wenyewe mkuu duu ndiyo maana magu ni mkuu wa nchi na ana PhD ila lugha inasumbua ungeandika tuu kwa lugha ya mama au ndiyo bit kungolea madem jf maana wanaume nyinyi wa Dar ndiyo gear zenu
Mjomba lugha mbona nyeupe sana au schools ulzopita ni tia maji tia maji
 
Mjomba lugha mbona nyeupe sana au schools ulzopita ni tia maji tia maji
Mi huwa namuona limbukeni mtu ayejidai kuchanga lugha,ungechagua lugha moja kati ya kingereza au kiswahili ili ueleweke
 
Back
Top Bottom