Kanye West Clothing Designs....

Huyo kaka namfahamu nilisomanae chuo ni msauzi na ni model now huko kwao
 
Waliouchi wanatamani kuvishwa walionazo wanataka kutembea uchi
 
Reactions: ydn
Mtu asiye na akili akipewa ukwasi na Muumba hufanya kila aina ya upumbavu kama huyo Kanye West
 
Wamewafanya na wanaovaa nguo za kuchanika wajione bora,wanatisha
 
Wasanii wetu nao wataiga tu! Walianza hereni, wakaja na kata k, then vijisuruali vya kubana, wakata na suruali za kukatwa magotini, unafikiri wataacha na hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…