kwahiyo umeingia kingiHaaaah itakuwa alivaa yeezy boost 350 so kanye akamuelewa
Mkuu Kanye apige picha Yeezy ya nn??..Jamaa anapenda fashion,Uenda alipenda style ya kiatu alichokuwa amevaa MondiHaaaah itakuwa alivaa yeezy boost 350 so kanye akamuelewa
Mkuu Kanye apige picha Yeezy ya nn??..Jamaa anapenda fashion,Uenda alipenda style ya kiatu alichokuwa amevaa Mondi
Unamsemea kanye west yupi??? Maana hapa mtaani kuna jamaa tunamwita kanye west...nadhan utakua unasemea huyo!!!Baada ya picha ya staa wa bongo fleva Diamond Platnumz akiwa na Hip Hop staa kutoka Marekani, Kanye West kusamba pamekuwa na maswali mengi ya Ilikuaje mpaka picha hii ikapigwa? .
Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Diamond alisema, “Nilipokuwa airport pale Los Angeles tunasubiri kuchukua mabegi yetu, nilisikia mtu akisema ninaweza kupiga picha viatu vyako? Kwakuwa alikuwa ameinama sikuweza kumtambua lakini alipoinuka nikashangaa kumuona ni brother Kanye West. Nilimuomba tupige picha kwanza halafu vingine vitaendelea. ”
Kuhusu collabo D alisema
“Tumuombe Mungu mambo yaendelee vizuri kama tulivyopanga, kuna kitu kizuri kinaweza kikatokea kati yetu ”.
Kweli mkuu,wenye copy tuagane naoNgoja tar 17 June humu tupungue kidogo
Basi watu wenyewe roho mbaya huu uzi utawatoa povuBaada ya picha ya staa wa bongo fleva Diamond Platnumz akiwa na Hip Hop staa kutoka Marekani, Kanye West kusamba pamekuwa na maswali mengi ya Ilikuaje mpaka picha hii ikapigwa? .
Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Diamond alisema, “Nilipokuwa airport pale Los Angeles tunasubiri kuchukua mabegi yetu, nilisikia mtu akisema ninaweza kupiga picha viatu vyako? Kwakuwa alikuwa ameinama sikuweza kumtambua lakini alipoinuka nikashangaa kumuona ni brother Kanye West. Nilimuomba tupige picha kwanza halafu vingine vitaendelea. ”
Kuhusu collabo D alisema
“Tumuombe Mungu mambo yaendelee vizuri kama tulivyopanga, kuna kitu kizuri kinaweza kikatokea kati yetu ”.
hahahaaaaa, dah watu wana maneno saanaaaaaaaaaaamaajabu ya bataa kutikisa bodi la manyoyaa..ivi hivyo viatuu vikojee kwanii image pleasee
yes, yeezy boost for adidas created by kanye westHaaaah itakuwa alivaa yeezy boost 350 so kanye akamuelewa