Kanye West akutana Trump

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,524
Reaction score
146,048
Hahahaaa....I love this.

Hii imetokea muda mfupi tu ulopita hapo Trump Tower....


Hapo mchizi ndo wakati anaingia Trump tower....

 
Jamaa kaingia kibabe huyo, utafikiri majambazi yanaenda kutekekeza shambulio
 
dili ipi tena na trump huyu na uyu black kanye
 
Watanzania wachochezi sana si walisema trump hapendi watu weusi na atawafukuza mbona kanye hajatimuliwa?
 
Kanye kapona uchizi..hapo sasa ataona umaarufu wake unapaa.. anyway good
 
Trump aliwashukuru black people for not voting..go figure.
 
Trump na Kanye akili zao kama zinafanana vile.
 
Hongera kanye west! maisha ni kuwa flexible alipangaro mungu kamwe mwanadamu hatoweza kulipangua!
 
Kanye ana mipango yake kuusaka urais next election, "Yezus for President"...... ndo harakati zenyewe hizo nyie mnamchukulia chizi.
 
Ndio mjitambue na watz mlivyokuwa na majungu na wanafki ...
Kila siku humu mnaongelea kwamba Trump hawapend watu weusi na mnasema alisema atawaondoa marais ving'ang'anizi.. Sijui mnayatoa wapi haya maneno...
Aibu kwenu na majungu yenu
 
Mbona nasikia wanamuita kanye kanye,, anakunyaga nini eti,,🙁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…