Kanusha kwamba CCM si wezi

Kanusha kwamba CCM si wezi

CCM sio wezi isipokuwa tu wanatimiza ilani ya chama chao: Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya ya ufisadi!
 
Ewe kikwete rais wetu mtukufu mpendwa kwa nini unafuga wezi au kuna agenda yoyote ?
 
Escrow+ EPA + RICHMOND+BVR MACHINES+ BOMBA LA GAS + HELCOPTER 12 + MKATABA WA TRENI KWENDA AIRPORT ETC
 
Sio wezi, wanaanda tuu wadanganyika kujitambua, mkitaka kujua ni wezi wachagueni tena 2015.
 
Hii chama ndio maana wamebaki na ushirikina tu! SHAME ON THEM.

Kuna waganga watano wako kwenye payrol ya Serikali..
 
Jizi jingine hili hapa..

Huyu sio mwizi ila ni mpambe tu.....! na huenda hata upambe hana ila anatafuta kiki awe mpambe siku za usoni na hii ni kutokana na hali ngumu ya maisha, watu wamekata tamaa wanaona bora iwe vyovyote ilimradi nao waambulie

Kinana alisema,'Mafisadi CCM wapo kama asilimia sita tu, ndio wanachafua chama' Huyu hayupo na hawezi kuwa, muhurumie tu
 
Kwa sakata hili la Escrow, Epa, Richmond na mengine mengi. Nani anaweza kujitokeza, tena kifua mbele na kukanusha kuwa CCM si genge la wezi?

kanunusha kuwa ccm imejenga barabara mahospitali madaraja na nk
 
Mle ndani kuna watu wanatamani bomu la bokoharamu lidondokee paa la mjengo kuna joto, hata ile AC haikusikika leo.
 
kanunusha kuwa ccm imejenga barabara mahospitali madaraja na nk

Imejenga barabara zinazodumu miezi mitatu tu halafu zinazidi kuwa mbovu kuliko awali, imejenga nyumba za walimu zenye vyumba viwili kwa thamani ya milioni 98 kila moja, hospital na chuo kama UDOM ambavyo kabla kukamilika vimeanza kukarabatiwa,...
 
Back
Top Bottom