Kamati ya saa 72 itasema kati ya hao mmoja ni mtanzania mwenye asili ya Ghana ivo ni mtzmwisho ni wachezaji 5 Simba imezidisha ivyo itapokonywa point
Kuna nyumbu la Jangwani limekimbia thread.. No research no right to speakKanuni: 57 Wachezaji wa Kigeni
(1) Klabu ya Ligi Kuu inaruhusiwa kusajili wachezaji saba (7) wa kigeni kutoka sehemu
yoyote duniani na inaweza kuchezesha wachezaji wake wote wa kigeni katika
mchezo mmoja wa Ligi Kuu.
(2) Wachezaji wa kigeni watathibitishwa usajili wao baada ya TFF kuhakiki usahihi wa
taarifa zao na kukamilika kwa taratibu za uhamisho wa kimataifa.
(3) Mchezaji wa kigeni wa ridhaa anayesajiliwa kwenye Ligi Kuu anaweza kuhamishwa
kwa kufuata utaratibu wa uhamisho wa kimataifa kwa wachezaji wa ridhaa.
(4) Wachezaji wa kigeni wanaoruhusiwa kusajiliwa ni wale wanaocheza katika timu za
Taifa za nchi zao au Ligi Kuu ya nchi husika.
(5) Mchezaji yeyote wa kigeni anayesajiliwa katika Ligi Kuu atalipiwa ada maalum ya
usajili ya US $2,000 (dola elfu mbili za Marekani) kwa msimu ili usajili wake uweze
kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza.
Teh! Teh! Teh!Kamati ya saa 72 itasema kati ya hao mmoja ni mtanzania mwenye asili ya Ghana ivo ni mtz